How do you protect your love ?
Je unalinda vipi upendo(penzi)??
nawasalimu nyote , poleni na kazi za hapa na pale
na majuukumu ya maisha..
Swala la upendo ni kitu kizito sana , ni mara nyingi nimeona hapa jamvini,
tunaongelea swala hili . tunafundishana jinsi ya kupenda na kupendana.
na upendo niuongelea hapa ni wa kati ya mke na mume, Gf na Bf, partners.....etc..
Je tuki linda penzi hii itasaidia ku imarisha uhusiano kati ya wapendanao au ku
punguza talaka au kutengana ??
asanteeni AD..
Mimi hapa nina shoka, visu, mshale , gobore, manati na nyuki nalinda penzi kwa style hiyo sidhani kama mtu anaweza kusogea
Ngoja ODM aje akufundishe jinsi ya kulinda...!
Mie leo mtazamaji tu!
IGWE hata hela kuna kipindi huwa zinaisha sasa ukiwa hauna hela si bora ku-apply hizo lol!!!ahahahaaaaaaaaaa,...na vip kuhusu bill when they fall due,....walindao ucku na mchana kwa mapanga wakesha bure kama hawana hela.
Swafi sana... Ntakuongezea na mabomu kwa ulinzi imara zaidi...Mimi hapa nina shoka, visu, mshale , gobore, manati na nyuki nalinda penzi kwa style hiyo sidhani kama mtu anaweza kusogea
mimi ninajitahidi ucku na mchana kutafuta hela za kulipia bill za maisha,...mimi ni mwanaume na najua for sure ukiwa huna hela hakuna mapenzi siku hizi,..na hili ni kwa upande wangu
asanteeni...Igwe
Si umeona Bebii yeye analinda kwa "Nothing to Worry"Haya Kimey!......ngoja namuona Bebii hapa chini aje na mbinu zake za kuchukua simu
Asante sana wewe tuko pamoja, hamna cha kusubiri sijui let love lead the way, unaweka ulinzi imara zaidiSwafi sana... Ntakuongezea na mabomu kwa ulinzi imara zaidi...
mimi ninajitahidi ucku na mchana kutafuta hela za kulipia bill za maisha,...mimi ni mwanaume na najua for sure ukiwa huna hela hakuna mapenzi siku hizi,..na hili ni kwa upande wangu
asanteeni...Igwe
Ngoja ODM aje akufundishe jinsi ya kulinda...!
Mie leo mtazamaji tu!
Habari zenu binafsi..........Brother Teamo na babu Aspirin last week walitushauri tu-let love lead the way..sijui leo watasemaje juu ya ulinzi wa penzi,am waiting
pesa ndio mlinzi imara.. nakubaliana na wewe kwa 100%Pesa ndio mlinzi bora zaidi...kosa uone wenzio watakavyokusaidia kumuweka mwenzi wako mjini...
Kiuhalisia mapenzi yanatakiwa kuwa kwenye autopilot mode...