Ulinzi wa penzi.......

afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,145
9,206
How do you protect your love ?
Je unalinda vipi upendo(penzi)??

nawasalimu nyote , poleni na kazi za hapa na pale
na majuukumu ya maisha..

Swala la upendo ni kitu kizito sana , ni mara nyingi nimeona hapa jamvini,
tunaongelea swala hili . tunafundishana jinsi ya kupenda na kupendana.
na upendo niuongelea hapa ni wa kati ya mke na mume, Gf na Bf, partners.....etc..
na ulinzi ni uongeleao ni wa ndani"emotional side" pamoja na wa nje...

Je tuki linda penzi hii itasaidia ku imarisha uhusiano kati ya wapendanao au ku
punguza talaka au kutengana ??

asanteeni AD..
 
How do you protect your love ?
Je unalinda vipi upendo(penzi)??

nawasalimu nyote , poleni na kazi za hapa na pale
na majuukumu ya maisha..

Swala la upendo ni kitu kizito sana , ni mara nyingi nimeona hapa jamvini,
tunaongelea swala hili . tunafundishana jinsi ya kupenda na kupendana.
na upendo niuongelea hapa ni wa kati ya mke na mume, Gf na Bf, partners.....etc..

Je tuki linda penzi hii itasaidia ku imarisha uhusiano kati ya wapendanao au ku
punguza talaka au kutengana ??

asanteeni AD..

mimi ninajitahidi ucku na mchana kutafuta hela za kulipia bill za maisha,...mimi ni mwanaume na najua for sure ukiwa huna hela hakuna mapenzi siku hizi,..na hili ni kwa upande wangu

asanteeni...Igwe
 
Mimi hapa nina shoka, visu, mshale , gobore, manati na nyuki nalinda penzi kwa style hiyo sidhani kama mtu anaweza kusogea

ahahahaaaaaaaaaa,...na vip kuhusu bill when they fall due,....walindao ucku na mchana kwa mapanga wakesha bure kama hawana hela.
 
Brother Teamo na babu Aspirin last week walitushauri tu-let love lead the way..sijui leo watasemaje juu ya ulinzi wa penzi,am waiting
 
IGWE hata hela kuna kipindi huwa zinaisha sasa ukiwa hauna hela si bora ku-apply hizo lol!!!
 
mimi ninajitahidi ucku na mchana kutafuta hela za kulipia bill za maisha,...mimi ni mwanaume na najua for sure ukiwa huna hela hakuna mapenzi siku hizi,..na hili ni kwa upande wangu

asanteeni...Igwe

asante sana mkuu ..
dahhh Je vipi kuhusu emotional side??
 
mimi ninajitahidi ucku na mchana kutafuta hela za kulipia bill za maisha,...mimi ni mwanaume na najua for sure ukiwa huna hela hakuna mapenzi siku hizi,..na hili ni kwa upande wangu

asanteeni...Igwe

Umenena mkuu.... tutake tusitake penzi la ukweli haliihitaji pesa lkn pesa/ monies ina nafasi kubwa sana ktk kulinda penzi....
 
Ngoja ODM aje akufundishe jinsi ya kulinda...!
Mie leo mtazamaji tu!

Brother Teamo na babu Aspirin last week walitushauri tu-let love lead the way..sijui leo watasemaje juu ya ulinzi wa penzi,am waiting
Habari zenu binafsi..........

Ni hivi: Penzi halilindwi! Penzi linajilinda lenyewe, ambaye hajaelewa anifuate huku kitandani nimfafanulie. Aje without.........
 
Pesa ndio mlinzi bora zaidi...kosa uone wenzio watakavyokusaidia kumuweka mwenzi wako mjini...
Kiuhalisia mapenzi yanatakiwa kuwa kwenye autopilot mode...
pesa ndio mlinzi imara.. nakubaliana na wewe kwa 100%
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom