Ulinzi wa Asili: Mtaalamu Anahitajika

Ulinzi wa Asili: Mtaalamu Anahitajika

ze farmer

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
922
Reaction score
1,821
Wakuu
Kama mjuavyo dunia ni kutafutana mpaka makazini watu wanavizina. In fact kama huko vizuri unaweza sepa anytime. Najua humu kuna wadau walishapita kwa wataalamu (Waganga) kulinda wasidhuliwe na walimwengu.

Mpaka sisi wakulima ukivuna mazao tu jamaa wanaanza kukufanyia surveying.

Sasa wakuu nimechoka na huu uonezi. Kama kuna mtu anamjua mtaalamu wa kuzindika mtu tupeane taarifa. Hata kama ni Malawi mm nitatimba huko mradi tu niwe salama na hawa washenzi.

NB. Nahitaji mganga mtaalamu wa hizi kazi na sio njia mbadala
Karibuni
 
Mkuu mbona umefikia hatua hiyo
au na wewe ni mmoja wao asiye amin uwepo wa Mungu?

Love and peace
 
Mawazo ya kijinga hayo, nguvu ya Mungu shetani hawezi izidi mimi sijawahi ogopa uchawi kwa sababu najua ni kitu kidogo sana mbele ya Mungu

NB.ukiwa na hirizi ni rahisi sana kulipuliwa kuliko asiye nayo

The choice is ur's
Bado mtoto mtogo sana wewe huwezi elewa mambo makubwa. Siku ukikuwa utaelewa kuwa ulimwengu haiko hivyo unavofikiri.
 
Mkuu wewe uko wapi Mafinga au Mbarali
Njoo Madibira km 80 toka MAFINGA Iringa, km 85 toka Rujewa Mbarali Mbeya. Ukifika nistue nikupokee nikupeleke, wengi wamepita kwake na hakuna kafara wala kuchanjana machale.

Barafu la moto
 
Dogo acha dharau basi, kwa mawazo yako ya kijinga mimi nakuzidi kwa kila kitu,huenda hata katika ukoo wako hakuna wa kusimama na mimi
Siwezi bishana na nyie mnaolala kwa shemeji zenu. Infact and im sure wewe ukifika 10% yangu tu (achana na ukoo) mimi nahama Tanzania. Mnaishia kuleta ulimbukeni kwa kuendesha starlet ya dada yako. Shenzi kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom