Ulinzi wa Asili: Mtaalamu Anahitajika

Wakuu
Kama mjuavyo dunia ni kutafutana mpaka makazini watu wanavizina. In fact kama huko vizuri unaweza sepa anytime. Najua humu kuna wadau walishapita kwa wataalamu (Waganga) kulinda wasidhuliwe na walimwengu.

Mpaka sisi wakulima ukivuna mazao tu jamaa wanaanza kukufanyia surveying.

Sasa wakuu nimechoka na huu uonezi. Kama kuna mtu anamjua mtaalamu wa kuzindika mtu tupeane taarifa. Hata kama ni Malawi mm nitatimba huko mradi tu niwe salama na hawa washenzi.

NB. Nahitaji mganga mtaalamu wa hizi kazi na sio njia mbadala
Karibuni
Mkuu nakutahadharisha kuwa makini na matapeli,
Maana watakuingiza kingi na hutaweza kutoka mpaka wamehakikisha wamekupiga pesa, nakuambia watakutengenezea miujiza ya ajabu ambayo hujawahi kuona tangu uzaliwe halafu watakuingiza woga ambao utakufanya usiweze kuchomoka ..

Sio kwamba nakuzuia ila nakutahadharisha tu..
Nimeona matukio mengi sana ya watu kuibiwa pesa zao, wengne mpaka kuuza nyumba zao na hela kuliwa na matapeli yaan wanakupumbaza hutakubali kushauriwa.. Mkuu Tanzania tumefika pabaya sana .... Kuwa makini sana...

Mm nakushauri kama unataka mtaalamu usitafute wataalamu Wa kuunganishwa na watu Wa humu jf nenda tu mwenyew kijijini utawapata tu
 
Wakuu
Kama mjuavyo dunia ni kutafutana mpaka makazini watu wanavizina. In fact kama huko vizuri unaweza sepa anytime. Najua humu kuna wadau walishapita kwa wataalamu (Waganga) kulinda wasidhuliwe na walimwengu.

Mpaka sisi wakulima ukivuna mazao tu jamaa wanaanza kukufanyia surveying.

Sasa wakuu nimechoka na huu uonezi. Kama kuna mtu anamjua mtaalamu wa kuzindika mtu tupeane taarifa. Hata kama ni Malawi mm nitatimba huko mradi tu niwe salama na hawa washenzi.

NB. Nahitaji mganga mtaalamu wa hizi kazi na sio njia mbadala
Karibuni
Ukikosa Kote huko ni pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una Ankara mkuu?
 
Usipate tabu. Kaka kwanza uko wapi?
Njoo Tanga sehemu inaitwa Maguzoni mbele kidogo ya Hale. Ulizia kijiji potwe. Kukuhakikishia kwamba hatuna mzaha. Tutakurudisha ulikotoka bila wewe kujua hata iwe Mbeya.
Usije na hela ya malipo. Tutayafuata wenyewe baada ya siku 7.h
Kiongozi naona hii ni tishio sasa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo unaye fikiri hapigi mashuti kumbe ndiyo muendaji mzuri kwa waganga ngoja siku uje umgumie ndiyo utaelewa!
Mwache mtu afanye aonavyo ni Sawa kwake

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaua watoto hawa kwa imani zao za kijinga sasa waganga wanawaambia wakatafute mtoto yeyote huyo sio wa kumuacha aishi atakavyo njombe huko watoto wasio na hatia wameuawa kwa sababu ya imani za kijinga kabisa...maisha yenyewe ni kuwa na nyumba na Rav 4 kwangu Mimi huyo na muuza sembe sema wametofautiana matumizi tuu muza sembe anatumia ingawaje nae anaua vizazi...
 
Kwangu Alhmdllh namshkuru mungu hakiibiwi kitu
Walijaribu vibaka kupanda juu ya bati nyakati za usiku wa manane ili waibe Dish lkn wala hata sikuhangaika nao hadi saa 7 mchana iliwakuta huko huko juu
Kilichofuata hapo sasa,,,‍♂️
 
Usipate tabu. Kaka kwanza uko wapi?
Njoo Tanga sehemu inaitwa Maguzoni mbele kidogo ya Hale. Ulizia kijiji potwe. Kukuhakikishia kwamba hatuna mzaha. Tutakurudisha ulikotoka bila wewe kujua hata iwe Mbeya.
Usije na hela ya malipo. Tutayafuata wenyewe baada ya siku 7.h
Mkuu are you serious?
 
Hizo imani ni za kijinga Mkuu samahani hakuna neno lingine zaidi ya hilo kazi tuu ya kulipwa mshahara unatafuta waganga ukiwa na Kampuni yako na imesimama si utaua watoto narudia tena ni imani za kijinga tuu hizo hata Mali zitokanazo na hizo Mali watu wenyewe wanakua hawana Uhuru nazo kabisa mtu tajiri anaishi maisha ya kimasikini si bora angekua tuu masikini sasa...
Wewe jamaa inaonekana unaishi kwa shemeji ako, kwani mtoa maada kasema hatambui uwepo wa mungu? Yeye alichosema anataka kuoneshwa mtaalamu atekayemrekebishia mambo yake, Sasa tatizo liko wapi.?

Afu wewe hujakutana nayo anayokutana nayo mwenzako, Kama hujawahi kulala njaa huwezi kujua Kama njaa ipo na inatesa!

Kama hujawahi kugongwa na nyoka, huwez shtuka mpaka ugongwe!

Mtoa maada tafadhali ukimpata mtaalam wa ukweli lete mrejesho, huenda ukaokoa wengi humu
 
Mkuu ukipata kipato shukuru Mungu kwa kupata mambo ya kulala kwa shemeji watu ndio njia ya kufanikiwa ila sidhani kama unaweza kufikia kipato kwa baadhi ya miradi yangu michache tuu sidhani...kwa hiyo visenti unavyopata usilete dharau mimi hela nimeanza kupata muda mrefu na nishazizoea ndio maana siwezi kuleta dharau za kwa mtu yeyote nimfahamu au simfahamu na naamini mtu yeyote akiwa na juhudi na maarifa atafanikiwa tuu...
 
Mkuu unajua nimeishi sana kijiji cha Sange , na kuna mama nilikuwa jirani naye alikuwa anaenda kwa msisi daily kutafuta dawa ya biashara yake
Wahanga wa kwamsisi ni watoto wadogo. Wanaringia utaalam wa kumnyoa mtu nywele bila kinyozi kuonekana. Mambo iko Potwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom