Ulinzi wa Asili: Mtaalamu Anahitajika

Ulinzi wa Asili: Mtaalamu Anahitajika

Kama unanauli nenda ukerewe nitakupa shemeji yangu akupike ila shariti lake usigegede manzi akiwa kwenye siku zake,ukigegeda tu inabidi ukapigwe dozi nyingine
Na gharama ni kiasi gani mkuu
 
Usipate tabu. Kaka kwanza uko wapi?
Njoo Tanga sehemu inaitwa Maguzoni mbele kidogo ya Hale. Ulizia kijiji potwe. Kukuhakikishia kwamba hatuna mzaha. Tutakurudisha ulikotoka bila wewe kujua hata iwe Mbeya.
Usije na hela ya malipo. Tutayafuata wenyewe baada ya siku 7.h
Mkuu hii hapana mm nataka ulinzi tu sio advertisement hizo
 
kwani kazi ipo moja si uache utafute nyingine
Mimi nimeajiri sijajiliwa kama unavofikiri na ukweli ni kuwa hakuna sehemu salama hata makanisani watu wanalogana wapewe vyeo sembuse huku duniani
 
Usipate tabu. Kaka kwanza uko wapi?
Njoo Tanga sehemu inaitwa Maguzoni mbele kidogo ya Hale. Ulizia kijiji potwe. Kukuhakikishia kwamba hatuna mzaha. Tutakurudisha ulikotoka bila wewe kujua hata iwe Mbeya.
Usije na hela ya malipo. Tutayafuata wenyewe baada ya siku 7.h
Je kwa msisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimeajiri sijajiliwa kama unavofikiri na ukweli ni kuwa hakuna sehemu salama hata makanisani watu wanalogana wapewe vyeo sembuse huku duniani
Muamini Mungu mkuu. Hakuna nguvu yoyote ya uchawi itakudhuru.
 
Iman gani za kuuwa watoto na albino hiyo si upuuzi tuu huo wengine wamefunua kaburi huko pugu na kuzini na maiti iliyozikwa eti masharti ya mganga,
na mafuta yenu ya binadamu na viungo vya wa mama mnavyotengenezewa dawa na hawahawa waganga, "mnayoita mafuta ya upako" maji ya kuonyeshea maiti " mnayouziwa mpaka laki moja eti maji ya baraka, nalo unaliongelwaje bwana mdogo ake na yesu na wewe,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ungeenda Russia upate S 400 na Air borne early warning Radar kwa ajili ya kuwawinda na kuwalipua wakiingia kwenye anga zako
50420928467-s-400_triumf_air_defense_system_main_1.jpeg
1-qkaam059w4hyaouft-cmfq.jpeg

muhogo,nazi,karanga tende,asali
 
Mawazo ya kijinga hayo, nguvu ya Mungu shetani hawezi izidi mimi sijawahi ogopa uchawi kwa sababu najua ni kitu kidogo sana mbele ya Mungu

NB.ukiwa na hirizi ni rahisi sana kulipuliwa kuliko asiye nayo

The choice is ur's
Mtoa mada kasema hatak njia nyingne mbadala hv mnasomaga vzur nyuzi nyie aaah mnakera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom