Ulimwengu wa wapendanao

Ulimwengu wa wapendanao

Ekaka

Senior Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
121
Reaction score
133
Habar zenu wana jukwaa la wapenda nao.

Leo napenda kusikia kutoka kwenu kuhusu Matukio au tukio La kujinga ambalo umewai kufanya au kufanyiwa na mpenzi wako.

Mm Nakumbuka nimewai kuombwa denda / romance na mpenzi wangu darasani tena tukiwa tumekaa mbele kabisa ya darasa enzi Izo za kishule Shule (advance) Yeye akiwa f5 mm f6 😀😀😀😀😀😀😁😁
 
Tumeshamaliza kuApprove majina ya First years hapa TCU, first week ya November mfike vyuoni
 
Back
Top Bottom