dish za TV mwanzo nilikuwa na wasaidia kuset channel kwa frequency manual , ila baada ya star times waka acha ,sasa wanataka kurudi tena na napata tabu ya frequecy za local channel na za nnje, je naweza pata kifaa ambacho nitakuwa napanda nacho juu kwenye dish na kuset cheki channel na kuliset vizuri bila yakushuka na kuset kwenye decoder je ni Tsh ngapi?