Mnisaidie ktk eneo hili,ninazo receiver mbili QSat 13 G na Qsat 15 G. Qsat 15 ime expire account yake 25 Jan 2015. Zote zimewahi tumika huko nyuma kidogo.
Kwa mara ya kwanza nilikinunua kupitia taarifa za rafiki yangu aliyetoka navyo uchina.
Ningependa sana kuzibua account zake ili nizitumie tena. Lakini sasa, Kwa imani yangu,nashindwa kujua uhalali wa kuangalia pay channels kupitia receiver hizi japo zinaonekana kuenea Afrika yote.
Naomba mnisaidie katika eneo hilo. Ningependa zaidi mawakala wa biashara hii wanifafanulie "legal status" ya kazi za receiver hizi.