punainen-red
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,731
- 451
Thanks chief, nitashukuru kama utadadavua kidogo zaidi, hiyo software nitaipata wapi? Na hiyo cable uliyotaja ni tofauti na inayotoka kwenye dish? Na vipi receiver tofauti na media-com hazina hiyo makitu?Mimi sijui kutengeneza ila kitu kipo mtaani na watu wanafanya dishi la kawaida unaingiza software katika receiver (media com). Unaingiza na cable chungulia nyuma ya receiver utaona hio sehemu. Ukishaingiza hio software chanel za aljazeera zitaongezeka utapata aljazeera sport zote.
Aljazeera sport inaonesha mipira yote ya south america na pia kuna tetesi mwakani wakaonesha ligi ya uingereza kwa kuwapokonya licence abudhabi sport
Thanks chief, nitashukuru kama utadadavua kidogo zaidi, hiyo software nitaipata wapi? Na hiyo cable uliyotaja ni tofauti na inayotoka kwenye dish? Na vipi receiver tofauti na media-com hazina hiyo makitu?
Nashukuru kwa hili somo naona limekuja muda mwafaka. Tatizo langu ni free chanel,maana fundi aliye nifanyia installation alifanya uhuni. Nilimwambia nitilie free chanel,baada kuvutana kwenye malipo atimae tukakuliana,akaweka free chanel.
Kivumbi kikaja nilipotoa pesa kwenye wallet, akataka nimuongeze pesa kinyume na makubaliano ya awali. Tulipo shindana akamua kuweka pin code. Naomba msaada kwa hilo, na mengine nitaendelea kujifunza kwenye uzi huu.
Nashukuru kwa hili somo naona limekuja muda mwafaka. Tatizo langu ni free chanel,maana fundi aliye nifanyia installation alifanya uhuni.
Nilimwambia nitilie free chanel, baada kuvutana kwenye malipo atimae tukakuliana,akaweka free chanel. Kivumbi kikaja nilipotoa pesa kwenye wallet, akataka nimuongeze pesa kinyume na makubaliano ya awali. Tulipo shindana akamua kuweka pin code.
Naomba msaada kwa hilo, na mengine nitaendelea kujifunza kwenye uzi huu.
unatumia receiver ya aina gani
Ingekuwa vizuri zaidi tunge jadili namna ya kutumia decoder ya Avata na kupata channel za DSTV
kweli kwa tz sio sehemu zote wanaweza kupata baadhi ya chanell kama sabc, btv, god tv, f24 kwa sababu footprint ni ya kusini mwa afrika, mimi niko songea kusini mwa tz kwa hiyo ni rahisi kuzipata kwa dar labda jaribu ft 8 au cm 120 offset dish.Mkuu,mbona kwangu hizo Btv,SABC1,2na3 hazionekani? Je ni kwa maeneo gani ya kwa Tz inakuwa rahs kuzipata? Je hata Hapa Dar mnazipata hz chnls?