...
Azam kwa sasa huwezi pata fta zozote kwenye kikorokoro chao mpaka wahongwe.! MimiTena
Continental wako abs2 75e 11665 H 45000 kwa satellite na 474 kwa terrestrial. Wana free zao 9 na sasa hivi zote zinaonekana.
....
Hallo, naomba muongozo namna yA kufungua DVB T2, zinazotumia miiba ya Samaki. Je ntapata channels ngapi na Zipi ambazo zinapatikana free on air? Msaada plz. Nawasilisha.