Wataalamu hebu niwekeni sawa kuhusu hili; king'amuz changu cha Azam kimepata shot na kupoteza signal, so nilichofanya nmepachika receiver ya Mediacom ya Dvb-mpeg2 katka dish la azam na kuedit sat ya Amos 7e na kisha nikaingiza freq. 12015V29950 Kisha nikascan nakupata channelz 43, congo tv, crt, rt, france24, cctv na wenzake. Ila hakuna ya kibongo hata moja au kenya, so naomba kujua kama kuna ujuz wa kupata za kibongo/kenya. Nb. Sas nmepata maujanja ya namna ya kuangalia zuku bila kulipia, na unapata channelz karibu 150 free. N pm ntakujuza