Ulimwengu wa 3D na 4D

Kwani ukifungua hilo jicho la tatu inakusadia vipi kulikomboa taifa lako maskini kama Tanzania....duh eti Meiiii Meiiiii(hata husemi ina mana gani)
Fanya vitu kwa logic
Unapoongelea logic unamaanisha hesabu ...
Katika hesabu kuna namba zinaheshimiwa nazo ni saba (7) na arobaini (40) uliwahi kujiuliza ni kwa nini?
Na upande wa pili namba zinazoheshimika ni zile zinazogawanyika kwa sita (6) unajua ni kwa nini?
Ulimwengu una tawala mbili zinazopingana.
Majibu yote yako kichwani mwako lakini kwa sababu hijibidishi kuujua ukweli utaendelea kubisha tu!
 
Mtu kama wewe ambaye maelezo yako yanaonyesha kuna kitu extra unakijua zaidi ya wenzako nilitegemea ungekua na effect flani kwa jamii yako lakini cha kushangaza unameza madude mengi kichwani ambayo kwako na jamii yako ni useless
 
Mtu kama wewe ambaye maelezo yako yanaonyesha kuna kitu extra unakijua zaidi ya wenzako nilitegemea ungekua na effect flani kwa jamii yako lakini cha kushangaza unameza madude mengi kichwani ambayo kwako na jamii yako ni useless
Ya kuambiwa ongeza na ya kwako:
Jiulize ni kwa nini waumini huwa wanashauriwa kufunga? Kufunga kunasaidia nini!
mambo yako wazi; hata computer ikitumika pasipo kufanyiwa virus scanning inaanza kuleta marinjirinji kwenye utendaji kazi wake!
Computer inatenda kwa mfano wa bin adamu!
 
Duh...aliye muelewa naomba anitafsirie
 
hiyo meyiii meyiii ni nini, asije akawa jini huyo!
 
bolivia peru hazipo north amerika
 
kwahyo ibrahimu alivyoota anaambiwa akamchinje mwanae ilikua imaginationa tu kwa kua ni ndoto,na angemchinja kweli angeingia chaka
 
1. umejuaje au kuna mtoto alikupa ushuhuda kwa alichokiona
2.mnyama gani au ndege yupi na wameona vitu gani ,lete ushahidi wa huyo ndege na alichokiona
3.hata binadamu anavyopumua mchana ni tofauti na usiku kuna wengine utadhani generataor,nadhani hii yatatu ina sababu nyingi za kisayansi na mazingira
 
kuna wale mateja wanaojidunga madawa na kujiona wako south afrika hii ina uhusiano na kulifumbua jicho LA 3
 
Aaaaaa hiii mpya kwangu tuelimishane mkuu tutor namba hzo
 
Hiyo meyiiiiii meyiiiiii maana ake ni nn??!! Na jina la nani hilo?
 
Hata nikikueleza nimejuaje hutakubali kwa sababu hujafunguliwa ...
Binadamu ana milango 8 ya fahamu ... lakini mitatu ya mwisho (isiyofundishwa) ndo inategemewa sana katika elimu ya vitu visivyoonekana.
Macho yatakuonesha kitu fulani lakini kuna sehemu yanapeleka hizo data.
Masikio yakisikia kitu fulani yanapeleka data sehemu fulani; hivyo hivyo pua, ngozi, ulimi ... pale ambapo data hizo zinafanyiwa processing ndo panapofungua hilo jicho la tatu ambalo linafungua ile milango mitatu isiyofundishwa madarasani.
 
Hiyo meyiiiiii meyiiiiii maana ake ni nn??!! Na jina la nani hilo?
Katika maandiko yote umeona Meyii ndo hujaielewa au yote hukuelewa?
Kama yote umeelewa achana na hiyo meyi fanyia kazi maandiko mengine.
 
JF BHANA......MAYIIIIIII MAYIIIIII.......
 
Katika maandiko yote umeona Meyii ndo hujaielewa au yote hukuelewa?
Kama yote umeelewa achana na hiyo meyi fanyia kazi maandiko mengine.
Kila kitu kimegota na kusimama kwenye hiyo meyiiiiii meyiiiii.kw hiyo hata km utafuata hayo maelekezo mengine lkn ukakosea kwenye hiyo meyiiiii meyiiiii.hutafanya lolote.hivyo meyiii meyiiii ndio kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…