the supporter
JF-Expert Member
- Aug 18, 2013
- 836
- 1,110
Kwa kweli Tuombe Mungu sana koz hali ni mbaya tuwe karibu na wake zetu kuongea nao mara kwa mara kuwa si wasije ingia kwenye hii mitego. Nadhani angalau itasaidia
kwa mtazmo wko unadhan hlo linasababishwa na nn labda?Wake za watu wemekua wepesi kuachia upeujer kuliko walioko single ndio maana!
hilo ndo neno. ishi vzuri na mkeo mwoneshe mapnzi htopata muda wa kushawishika. vnginevo vishawishi ni sumaku.Kwa kweli Tuombe Mungu sana koz hali ni mbaya tuwe karibu na wake zetu kuongea nao mara kwa mara kuwa si wasije ingia kwenye hii mitego. Nadhani angalau itasaidia
Siwezi kuwasemea ngoja waje!kwa mtazmo wko unadhan hlo linasababishwa na nn labda?