Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Dume jike
Dada farkhina nitafutie mchumba huko visiwani....nimeshanunua kitanda nataka kuoa...hahaahaaa...
Hahahahhaaha makubwa njoo mwenyewe uje uchague haya kitanda futi ngapi kwa ngapi kama 6 kwa 6 hakofai kwa wanandoa lol tafuta kidogo
Ni futi 3 kwa 4....nitakuja dada kuchukua watoto wenye adabu zao....
Haya kila la kheir