Ulimwengu uliofichika (Mungu hajui nini hatima ya maisha yako)

MKuu naona haujasoma mpaka mwisho hoja yangu hapo juu ngoja nikupe mambo ya nyongeza uelewe

Kufanikiwa sio lazima Mungu akuwezeshe wala sio lazima uweze kupitia Mungu, kuna kitu kinaitwa Balance of nature hii sio kama ile uliyosoma katika mashule hapa tunaikazia kidogo na kuita Balance Of Law Of The Universe hii kitu ni kubwa mno kuzidi unavyofikiria hii kitu ukiielewa ndio uatajua kwanini kuna masikini wakati huohuo kuna matajiri kwanini sio wote wanaoomba Mungu hufanikiwa na kwanini wengine hufanikiwa pasipo kuroga wala kuomba Mungu, ila watu wa dini mnaishia tu kusema ni Neema Za Mungu.

Mfano ukiwa unaishi viuri na jamii inayokuzunguka na unashirikiana vizuri na watu ni rahisi kufaniiwa katika mambo mbalimbali kuliko ungekuwa unaishi vibaya na jamii yako.
Mungu hakupi wewe kuishi vizuri na jamii bali wew endio jukumu lako kuamua njia ipi utaipitia mwisho wasiku sasa ndio unapotambua yakuwa Ili uweze kuwa na faida zaidi nilazima uwe chini ya kitu au mtu fulani nk
Hapo ndio wengine huchagua ulozi na wengine huenda kwa Mungu
Sasa master wako ndio atakuongezea katika kufanya guidance ya maisha yako, kulingana na jinsi utakavoishi naye na huyo master yaweza kuwa nguvu yoyote ile unayoiamini kama Mungu,Shetani nk
nimekuambia kitu kikubwa sana hapa Nakuombea tu ukielewe

ila rudia tena kusoma hoja yangu

Remember yote ambayo unayasema hayo mambo ya nature or wherever yameanzishwa na yy, yan yy ndio amekupa ufahamu wa kujua hiyo balance of nature, unachotaka kutuaminisha ni kuwa human anaweza kumcheat God
 
Sikuaminishi MWanadamu anaweza kumcheat Mungu ila nakuaminisha kuwa Mungu amekupa uhuru wa wewe kuamua unalotaka hakumwingilia eva kula tunda pale edeni hakumzuia kaini kumuua Abel wala hazuii magonjwa kuwapata wanadamu wala hazuii wauaji kuwaua wanadamu wenzao wala hazuii watu kuibiana wake ila ukimruhusu wewe kuzuia ndio atachukua nafasi ya kuzuia au kukueleweshwa kwanini hataki kuzuia
 
Remember yote ambayo unayasema hayo mambo ya nature or wherever yameanzishwa na yy, yan yy ndio amekupa ufahamu wa kujua hiyo balance of nature, unachotaka kutuaminisha ni kuwa human anaweza kumcheat God
Na roho ya mungu ikatulia juu ya maji 1roho
2 mungu(mwili) tumfanye mtu kwa mfano watu ni wazo limekuja
 
Hayo kwa mawazo yako ya kibinadamu that's why Mungu ameweka kitu kinaitwa ujui kesho yako ikoje,
Sasa ndugu ukibishana na mawazo ya kibinadamu ambayo Mungu ameyaweka kwako sasa unataka ukubaliane na mawazo ya kishetani ama?

Na haujui kesho yako ikoje na bado unapanga mipango ya kesho kwanini?
 
Hakika na ndio maana katika uhuru huo Mungu huwa hawezi kukuingilia unapaswa wewe kumruhusu aweze kutawala uhuru wako usipotaka basi hawezi fanya hivyo ndio hapo hoja yangu inaposimamia
Mwenyezi Mungu kakupa mipaka ktk matumizi ya Uhuru wako, ndio maana Kuna adhabu za dunia (kwa mfano Magonjwa yanayotokana na matumizi ya vitu vilivyokataliwa na Mwenyezi Mungu) pia adhabu ya Moto wa Jahannamu siku ya kiama kwa waliotumia Uhuru wao vibaya
 
Hayo ni matokeo tu ila maamuzi yako mikononi mwako umruhusu akutawale ama ujitawale mwenyewe na ukikosea ndio utakutana na matokeo hayo
unadhani kabla hazijaja dini kipindi tunaabudu mizimu yetu unadhani tulikuwa tunakufuru ama hatukufuru?
 
Sasa ndugu ukibishana na mawazo ya kibinadamu ambayo Mungu ameyaweka kwako sasa unataka ukubaliane na mawazo ya kishetani ama?

Na haujui kesho yako ikoje na bado unapanga mipango ya kesho kwanini?

Thats why ukaitwa binadamu, that's why ikapewa akili na ufahamu wa kujitambua sio kama kuku au nyani, ndio maana unajua huyu ni mama na huyu ni wife wako, mbona ujiulizi why ujazaa na mama yako na umeenda kuzaa na mtu mwingine? While kuna wanyama wanazaa na mama zao?
 
Hayo ni matokeo tu ila maamuzi yako mikononi mwako umruhusu akutawale ama ujitawale mwenyewe na ukikosea ndio utakutana na matokeo hayo
unadhani kabla hazijaja dini kipindi tunaabudu mizimu yetu unadhani tulikuwa tunakufuru ama hatukufuru?

Sheria ni zile zile no matter una dini au unaabudu mibuyu, ishu ni the same, na imesaidia sana
 
Mwenyezi Mungu kakupa mipaka ktk matumizi ya Uhuru wako, ndio maana Kuna adhabu za dunia (kwa mfano Magonjwa yanayotokana na matumizi ya vitu vilivyokataliwa na Mwenyezi Mungu) pia adhabu ya Moto wa Jahannamu siku ya kiama kwa waliotumia Uhuru wao vibaya
Si kweli kwamba magonjwa yanatokana na matumizi ya vitu vilivyokatazwa na Mungu. Magonjwa mengi tu hayaepukiki na wala hayatokani na kula chochote mfn mdogo Malaria.
 
Kwahiyo unakiri kuwa Hata bila dini bado unaweza kumwabudu Mungu si ndio?
Sheria ni zile zile no matter una dini au unaabudu mibuyu, ishu ni the same, na imesaidia sana
Yaani unachoongelea hapa sasa ndio mojawapo ya uhuru wa mwanadamu
 
Kwahiyo unakiri kuwa Hata bila dini bado unaweza kumwabudu Mungu si ndio?
Yaani unachoongelea hapa sasa ndio mojawapo ya uhuru wa mwanadamu

Absolutely, hofu ya Mungu iko kwa kila binadamu, hawa watu wa dini wanachofanya ni kumwagiwa maji na kuweka mbolea tu,
 
Back
Top Bottom