Ulimwengu uliofichika (Mungu hajui nini hatima ya maisha yako)

duuh mungu alimwita adami imeandikwa kwenye kitabu kipi mzee hii inaitaj elimu ya kutosha?
Vitabu vingi tu rejea vitabu vinavyoongelea historia ya kuanza kwa ulimwengu
utakutana na theory mbalmbali utaelewa
 
Kwahiyo wanaomba kwa mungu na wanafanikiwa ni personal mind set ndo hutoa nguvu au ni mungu ndo anatenda?

Pili ushasikia nakala za DNA cloning then hhuman ndo kama product

NB
Not easy as u think about!

Wakina nan wameomba wakafanikiwa
 
Kwa iman yangu na dini nilivyofundishwa binadamu ana maamuzi yote ila mungu anaongoza nafsi ya binadamu na nafsi ndo inatoa maamuzi kumbuka mungu kaumba nafsi ya binadamu kuwa na matamanio

So akili yako ikiwa ya uzinzi utaongozwa kweny uzinzi .Ukipeleka kweny kuabudu ivyo ivyo itaongozwa kuwa muumini

Yaani binadamu yuko huru kufanya chochote ni kiumbe mungu kakipa mamlaka yote
 
Back
Top Bottom