Kumetokea tukio moja la kuusitabisha huku mkoani Geita katika mji mdogo wa Kasamwa,
Mwanamke aliyekuwa amefariki kwa takiribani miaka sita ameonekana leo mida ya asubuhi nyumbani kwao alipokuwa akiishi hadi mauti yalipomkuta
Mwanamke huyo ambaye amewashangaza wengi kwani tofauti na misukule alikuwa akionekana akiwa na akili timamu na nadhifu*
Alipoulizwa alifikaje maeneo hayo alisema akuja kwa basi
Hata hivyo alichukuliwa na polisi kwa mahojiano zaidi
Nimefika hadi kwenye eneo la tukio* lakini si kumkuta kwani polisi tayari walkuwa wameshambeba*
Mi nimemuona kwa macho yangu, nimejaribu kumpiga picha, picha imeungua.
Mi nimemuona kwa macho yangu, nimejaribu kumpiga picha, picha imeungua.
Kumetokea tukio moja la kuusitabisha huku mkoani Geita katika mji mdogo wa Kasamwa,
Mwanamke aliyekuwa amefariki kwa takiribani miaka sita ameonekana leo mida ya asubuhi nyumbani kwao alipokuwa akiishi hadi mauti yalipomkuta
Mwanamke huyo ambaye amewashangaza wengi kwani tofauti na misukule alikuwa akionekana akiwa na akili timamu na nadhifu*
Alipoulizwa alifikaje maeneo hayo alisema akuja kwa basi
Hata hivyo alichukuliwa na polisi kwa mahojiano zaidi
Mi nimemuona kwa macho yangu, nimejaribu kumpiga picha, picha imeungua.
Sasa polisi wamemchukua kwa kosa gani mtu karejea nyumbani kwake?