kunakosa gani watu kusoma UDSM na kurudi kwao????Mbona wapo watu kibao wanachukua uraia wa Marekani au UK wanasomeshwa bure au kwa mkopo na wakimaliza wanarudi makwao(original) India,Pakistan,China na hata TZ na Kenya???mbona wamarekani au waingereza hawapigi kelele???Kusoma sehemu ingine na kurudi kwenu kuwa Waziri ni Kosa?????tuache ubaguzi usio na msingi???Acheni Warwandese waendeleze nchi yao,kama nchi yenu imewashinda msitafute sababu.....
Habari ndo hio....
hizi ndio data zisizo na chenga wa zengwe......nilikuwa sijui kama JU jina lake halisi ni Twaha Khalfan......kwa hiyo jamaa ustaadh?Joka Kuu,jina halisi la ulimwengu ni Bwana Twaha Khalfan.Jina la Jenerali Ulimwengu alilichukua ukubwani kwa sababu enzi za ujana wake ndo kulikuwa na vuguvugu la mapinduzi Afrika na yeye alikuwa ni mwanaharakati.Kumbuka siku ya uhuru Desemba,09,1961 wakati bendera ya Tanganyika inapandishwa mjini Bukoba Ulimwengu ndiye aliyesoma utenzi wa Uhuru,upo hapo?
mkuu namuaminia sana huyo jamaa.....huwa anashusha data mpaka nasikia raha......mtafuteYo Yo,
Ni kweli Born Again Pagan alisoma na akina M7 na Jenerali. Ngoja nione kama nina contacts zake NY nimtafute.
mchagaje na yule mke wake wa sasa anayeishi afrika ya kusini ni mtutsi au mtanzania?
Swala si kusoma UDSM, tatizo ni kwamba mda wote tuliposoma nao, tukaenda JKT pamoja na kwenda vyuo walidai na kujitambulisha kuwa ni watanzania!!. Ni pale tu Watutsi walipochukua madaraka 1994, walipoonoka na kwenda Rwanda kwa utambulisho wa uraia wa nchi hiyo,hata wale waliozaliwa hapa Tz.
Waliobaki japo wameendelea kuwepo katika taasisi mbali mbali, binafsi na za umma, mguu mmoja uko Tz mwingine uko Rwanda. Na kwa kweli wana uchungu zaidi na nchi ile si hii.Sina tatizo na yule anayeamua kuwa RAIA WA KWELI WA HAPA, pasipo kubeba maslai ya nchi nyingine pia, Hawa ni wachache kama 1/100.
Jenerali si mtu wa swala tano lakini mwezi mtukufu huwa anafunga.hizi ndio data zisizo na chenga wa zengwe......nilikuwa sijui kama JU jina lake halisi ni Twaha Khalfan......kwa hiyo jamaa ustaadh?
Binafsi huwa namhusudu sana Jenerali kwa maandishi yake ya kizalendo zaidi kuliko wengi wetu tunaojiita Watanzania. Nadhani kwa sasa anazidiwa na Mwalimu tu kwa maandishi ya aina ile. Marekani, Taifa lenye nguvu kubwa za KIUCHUMI na KIJESHI duniani limewakubali watu wa MATAIFA mbalimbali kuwa raia wa MAREKANI akiwemo Rais wa sasa ambaye baba ni Mkenya. Sheria zetu za URAIA zinahitaji maboresho ili watu wa aina Jenerali tuwe nao wengi tu.
Nilicho na uhakika kwa Jenerali kimoja, msimamo wake usio yumba juu ya RUSHWA na UFISADI. Akigundua wewe ni mnafiki, unalohubiri silo unalofanya, kama ana mtutu( ambao mara nyingi ni kalamu yake), atakugeukia tu tena kwa kasi ya ajabu. Simfagilii kwa suala moja tu kupenda kusomwa kwenye vyombo anavyomiliki yeye tu.Hapana.
Binafsi nilikuwa msomaji mzuri wa makala za huyu Twaha ktk gazeti la RAI kipindi kile cha nyuma. Zilikuwa zina contrast vizuri tu juu ya utawala na mapungufu yake..hilo sina tatizo nalo..
Tatizo ni motives behind the man, hili wengi wetu tunapenda kuliavoid..I can imagine hivi: upo vitani ..mpo in pairs, mpo bega kwa bega na mwenzako, mnafika mahala ambapo battle is very critical , mara maadui wamewazunguka and you need to act immediately na mara unashangaa uliyedhania ni mwenzako anakuelekezea na yeye mtutu..??
Nadhani we don't need more surprises, we had have enough of those. Inahitaji tummulike kila mtu na kujiridhisha kuwa kweli ni patna mwema mwenye nia ya dhati.
Nilicho na uhakika kwa Jenerali kimoja, msimamo wake usio yumba juu ya RUSHWA na UFISADI. Akigundua wewe ni mnafiki, unalohubiri silo unalofanya, kama ana mtutu( ambao mara nyingi ni kalamu yake), atakugeukia tu tena kwa kasi ya ajabu.
Nilicho na uhakika kwa Jenerali kimoja, msimamo wake usio yumba juu ya RUSHWA na UFISADI. Akigundua wewe ni mnafiki, unalohubiri silo unalofanya, kama ana mtutu( ambao mara nyingi ni kalamu yake), atakugeukia tu tena kwa kasi ya ajabu. Simfagilii kwa suala moja tu kupenda kusomwa kwenye vyombo anavyomiliki yeye tu.
kumjadili jeneral si vibaya ila kwa nini sasa na si alipokuwa na dhamana ya uongozi maeneo mbalimbali aliwahi kuwa mkuu wa wilaya hai na kwinginepo ?????
Alipokuwa Mbunge wa Taifa ndipo baadhi yetu tulianza kumsikia alipotofautiana na Mzee JSM wakati huo akiwa WM na Makamu wa Kwanza wa Rais juu ya rushwa ilivyokuwa imeanza kujikita serikalini na taasisi zake. Mzee Mwinyi akamzawadia u-DC kwa namna ya kumnyamazisha. Yaliyojiri baada ya hapo Jenerali mwenyewe yupo anaweza kuyaelezea.Jamaa inasemekana alikuwa kwenye vilinge vya Che Nkapa 1995..how do you explain that mazee...? Baada ya kutoswa akaanza madongo..huyo ndo mtu unayesema anapinga rushwa na ufisadi? Huyu bwana sidhani kama ana jipya kwa sababu kumbukumbu zangu zanambia aliwahi kuwa mbunge wa Taifa huko kipindi cha nyuma kama sikosei (koh koh ..citation needed)..hivyo kama sasa hivi tunavuna ufisadi hata yeye alipanda mbegu kwa namna moja au nyengine.
Jeneral si huwa anahoji sana watu ktk kipindi chake? Nae aitwe na wengine kwenye intavyuu