Baby Doll
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 4,880
- 22,056
Hahah ntaileta we subiriTunasubiri kumjua mwanamke limbukeni wa ndoa.
Naanza
1. Anafosi mwenza wake akajitambulishe kwao hata kama hawana muda mrefu katika mahusiano hii hutokea sana sana kwa wale wenye 27+
Vipi unaona wivu? Nawe inama tu.Acha matusi wewe mkojoa kwa kuinama
Limbukeni wa ndoa huyoUlichoandika yaani umepigilia msumari nilichokisema.
Kama unajijua bado una nyendo zako ulioa ili iweje? Subiri kwanza hadi utakapoelewa maana ya ndoa ndio uoe.
Tena limbukeni kweli.
SAWA
![]()
Naelekea huko nduguNAMBA 4, Imenifanya niwe na ukakasi sana, kwako mtoa mada..>> hivi mtoa mada umeolewa kwel..?!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi unaona wivu? Nawe inama tu.
Dada kuwa mkweli dhamiri yako ikukushudiaMungu hakukosea aliposema "hana akili kabisa". Mmethibitisha hilo.
Bado una muda wa kukua, ukiamua lakini.Kubishana na wewe ni kupoteza muda.
"Aziniye na mwanamke hana akili kabisa".Dada kuwa mkweli dhamiri yako ikukushudia
Mlivo wengi hivi unafikir hao wengine hawahitaji huduma ya sex???
Naomba Jibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada usijishike na huo mstar mmoja"Aziniye na mwanamke hana akili kabisa".
Hakuna ukweli zaidi ya huo.
Kwahiyo kwako ukweli ni kile akili yako ndogo inachowaza?Dada usijishike na huo mstar mmoja
Kuwa mkweli tuu mpendwa halafu kuwa kwenye Hiyo nafas ya wenzako au umeolewa??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu aniepushie mwanaume mjinga anayekua akili tu.ASILIMIA KUBWA YA WANAWAKE WANAOPATA KICHAA CHA NDOA NI WALE AMBAO WAUME ZAO WANA ULIMBUKENI WA NDOA KUANZIA 5 YA KUMI.
MJUE MWANAUME LIMBUKENI WA NDOA.
1.ANAOA KWA HESHIMA KABISA. LAKINI BADO ATATAFUTA MWANAMKE WA NJE WA KUZINI NAYE.BIBLIA INAMUITA HANA AKILI KABISA.
2.ANAOA NA ANA MKE LAKINI BADO HAWEZI KUJISIMAMIA KILA KITU ANAULIZA MAMA YAKE MZAZI AMA KAKA ZAKE,BIBLIA INASEMA AAMBATANE NA MKE ILA HATAKI.
3.ANARUDI NYUMBANI KWAKE SAA TISA ZA USIKU,AMA ANALALA NJE
4.MKE AKIWA NA PESA KUMZIDI HAISHI KUSEMA ANADHARAULIWA NK.
5.HATAKI MKE AFANYE KAZI ZA KUINGIZA KIPATO.
6.HAJALI WALA KUWAHUDUMIA MKE NA WATOTO WAKE./ HATAKI KUFANYA KAZI (MARIOO)
7.HATHAMINI MWANAMKE./ANAPIGA MKE.
8.HATAKI WALA KUSIKIA KITU KINAITWA IBADA. IBADA ANAZOHUDHURIA KWA SANA NI ZA MAZISHI TENA WALA SIO KANISANI NI MAKABURINI.
9.UMRI UMEENDA LAKINI BADO UTAMKUTA UVAAJI WAKE, ISHI YAKE,ONGEA YAKE,TEMBEA YAKE KAA YAKE KAMA KIJANA ANAYEBALEHE
10.HAJALI WAZAZI HASA WA MKE.
*******************
Nakuja....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo kwako ukweli ni kile akili yako ndogo inachowaza?
Kwaheri.We endeleza dharau zako Lakin huo Ndiyo ukweli hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja
Lazima tuwafanye ipasavyo
Ukija kwangu lazima nikupime vipimo vyote Ndiyo nikutie
Kwa hiyo jiandae one day nataka tupige show Sawa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kudngnya nakuwapa wanawake wenzio ushindi wakati ukweli mnaujua sema wote wanaume na wanawake wanashida ndio wavurugaji wa ndoaWanaume ndio chanzo kikuu cha kuvurugika kwa ndoa nyingi, huu ni ukweli ambao wengi wao wanaupinga. Ila kwa kiasi kikubwa wanawake wanapigania sana ndoa zao, lasivyo ndoa nyingi sana zingeshavunjika. Mwanamke na aheshimiwe daima.
Anayekua akili tu au anaekua mwili tu kama hao hapo juu.mwenyezi Mungu aniepushie mwa
Mungu aniepushie mwanaume mjinga anayekua akili tu.
Mkuu ukweli sio lazima uwe upande wako au ukufurahishe, fanya angalau research ndogo tu then utapata majibu pasi na shaka.Acha kudngnya nakuwapa wanawake wenzio ushindi wakati ukweli mnaujua sema wote wanaume na wanawake wanashida ndio wavurugaji wa ndoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Kati ya sisi wanaume na Nyie nan wajinga??Kwaheri.
Ujinga mzigo.