Ulimbukeni wa Dar

Ulimbukeni wa Dar

Kaka nimeona Maji ya TShs 18,000! Sio kwamba walikuwa ka group flani hivi?
Haya maji nadhani yana upako fulani wa ndele mvuto ngekewa na vumbi la Kongo .,. [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Jr[emoji769]
 
Hiyo picha toka jana naiona samahan niulize huyo ni mtu mmoja au nigroup la watu, napia hata hiv inaweza ikawa bill ya siku moja kweli? yaani kila nikijuuliza sipat majib Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nahisi ni kati ya watu wa4 hadi 6
hi Samaki samaki wanaisifu sana huko beach
mfano maji ya DASANI naona ni chupa kubwa 5 2000 = 10,000
kwa bei za wakuja
1535359066064.jpeg
 
Mm nahisi ni kati ya watu wa4 hadi 6
hi Samaki samaki wanaisifu sana huko beach
mfano maji ya DASANI naona ni chupa kubwa 5 2000 = 10,000
kwa bei za wakujaView attachment 848217
Status (quo) ? Class(fied)? Xcluziv(ness)? Au ulimbukeni... Ile tunasema mswahili alipata matako hulia mbwata (mbuu, mbuu, mbuu,....) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Mshana Jr sijaelewa!!!
NI bili ambayo walitumia siku hiyo? au ni mteja alikuwa ananunua bidhaa za kuweka kwenye grosari yake?
 
Back
Top Bottom