Ulimaji wa vitunguu maji

MILCAH28

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2014
Posts
1,140
Reaction score
328
Hii Naombeni Ushauri Jinsi ya Ulimaji wa vitunguu maji...Je kwa hekali moja ninaweza Ingia gharama ya kiasi gani?
Je kati ya Same na Mpwapwa wapi Panafaa kwa Ulimaji na vipi gharama zake kwa wanaotoka Huko...
 
Mkuu mbona kuna uzi kibao unaongelea ukulima wa kitunguu.afu sahzi umeshachelewa
 
Miezi hi utakumbana na mvua na utapata hasara.andaa mbegu mwezi wa2 panda wa3 wa6 unavuna utakutana na bei nzuri.fanya shuguli nyngne kwa sahz km lengo ni kilimo lima hata nyanya wakati unasubiri msimu.
 
So kuanzia mwezi huu wa saba hadi wa 12...zao la vitunguu halifai..
 
Dah poa poa aiseeee....Ngoja nijipange mwakani tena...Naona nitawekezaaaa ktk mazao mengineeeee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…