Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 11,234
- 20,575
Hapa nilikuwa nimewekwa ndani na demu mmoja wa Kisumbwa akanifunza na wanzuki daah!! Sweet memories
Alikuwa anampenda sana Yvone Chakachaka
Huyo demu bado yupo?
Hapa nilikuwa nimewekwa ndani na demu mmoja wa Kisumbwa akanifunza na wanzuki daah!! Sweet memories
Alikuwa anampenda sana Yvone Chakachaka
Nilikuwa bado kuzaliwaView attachment 1451261
Ulikuwa wapi wakati Jeshi la Wananchi lilipokuwa likivuka Jinja Uganda
Sikumbuki exactly walifukuzwa lini lakini Mimi niliacha kazi 2006 nikaenda shule. Nyakagwe nilienda na jamaa yangu mmoja alikuwa na makalasha huko na alikuwa anauza engine za makalasha pale kakolaUlikuwa wapi wakati wachimbaji wadogo wanafukiwa kwenye maduara yao
Alikujaga bongo huyu Sema hakupewa nafasi kubwa Sana naona waliyomleta hawakuandaaHuyo demu bado yupo?
Wengi Sahv ni kizazi cha diamond, harmonize kibaaaKwa hiyo hizo zama tunazoziongelea wewe ulikuwa viunoni kwa wazazi
Mkuu niweke picha ya Brenda fassieNani anaikumbuka ile Slogan ya "Abhasumbwa tuimanye kubhusere kubhakima byo"
Lakini mimi nilikuwa nawagongea tu kwenda mbele wakati wao wako kwenye wanzuki hahaha
chagu wa malunde
NdioKwa hiyo hizo zama tunazoziongelea wewe ulikuwa viunoni kwa wazazi
HUYU ALIPOKUJAGA BONGO ALIFIKIAGA SEA CLIFF HOTEL SIKU ANATOKA SI UNAJUA MAMBO YA KI TEAP SASA KUNA JAMAA ALIOMBA TEAP
Sauti ya Brenda ilikuwa kama nakunywa lazima niamke nicheze Mungu amlaze mahala pema peponiHUYU ALIPOKUJAGA BONGO ALIFIKIAGA SEA CLIFF HOTEL SIKU ANATOKA SI UNAJUA MAMBO YA KI TEAP SASA KUNA JAMAA ALIOMBA TEAP
BRENDA AKAMPATIA JAMAA BANGI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
WAKATI WA USAFI CHUMBA CHAKE KWENYE HOTEL SI MI MOSHI HIYOOO NDANI
ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app