hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,394
Daahh huyu mama alikuwa anaimba bwana.... Hajawahi kuwa na nyimbo mbaya... Alikuwa anaimba pop simchezo
Hapa nilikuwa nimewekwa ndani na demu mmoja wa Kisumbwa akanifunza na wanzuki daah!! Sweet memories
Alikuwa anampenda sana Yvone Chakachaka
Sent using Jamii Forums mobile app