Baada ya kudadavua na kupembenua, si nikagundua utanibemendea wajukuu zangu? Kisa cha kuwa shugamami wakati babu mwenyewe nipo ni nini?Unauliza nilikua wapi hali nilikua nafanya usafi rumuni kwako...lol.. Na uliponiona ulisema namfaa mjukuu what went wrong??
Baada ya kudadavua na kupembenua, si nikagundua utanibemendea wajukuu zangu? Kisa cha kuwa shugamami wakati babu mwenyewe nipo ni nini?
Ahaaaa...Orayt, otayt, oraytHuo mtihani babu, mjukuu tumefiana na ukilazimisha nahisi kabisaa undugu kuharibiwa hapa!! Bora uachie hiio roho maana kama tambiko tayari ulinifanyia .....lool
Na upande mwingine wa shilingi.......ikiwa yeye ndo kakukoleza na maufundi mapya? Utamwambia ahsante au utajiuliza kulikoni? Assume ni mpenzi wako wa zaidi ya miaka mitano, na hajawahi kukufanyia hayo mambio...Aseme tu palepale ndio tuelewane sio asubirie utamu wangu nimempa ndio anaibuka na maneno yake
Hivi na wewe ulikuwa wapi siku zote?...Anyway....Hii habari inahusiana na nini jamani....
Narudi kuosha vyombo, nitarejea...
Ahaaaa...Orayt, otayt, orayt
Never get angry. Never make a threat. Reason with BABU
mtaa wa pili kuna blockage nakucheck mtaa wa tatu muda c mrefu..Na mahali pa kunipata ushapasahau? Mtaa wa pili kule pia sikuoni........kulikoni?
Hivi na wewe ulikuwa wapi siku zote?...Anyway....
Whiskey, Vodka, Beer, Cigarettes, Women, Money etc, etc... are a man's worst enemies, and the man who runs away from his enemies is a COWARD.
Hujanijibu vizuri.... sasa kama ndo ulikuwa unakuwa, haya ulijifunzia wapi mpaka mjukuu mkwe wangu aje alalame kwangu?.... Manake yeye alitegemea aambiwe "staki maupuuzi yako" badala yake ukamwambia ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE?
Babu anarudi kitandani kulala, Ahsanteni kwa ushirikiano wenu.
MLIKUWA WAPI SIKU ZOTE JAMANI JAMANI JAMANI?
hebu njoo kwanza kwa maskini jeuri afu ndo tuende kule kwanza jiandae kunibembeleza nna kahasira flani hivi.....Niko nakusubiri..... ole wako usifike!
Wasalimie huko uendako waambie babu anawauliza, walikuwa wapi siku zote?Asprin(babu to be) checki nilivyo piga goti kwa adabu na heshima,
Nashukuru saana kwa mabusaraa yako - hivyo kwa heshima na ruhusa toka kwako NAAGA..lol
Nami navyopenda masenksi....mbichwa umevimba huo......! Kwahiyo demu kafikishwa mlimani badala ya kusema senksi anauliza jama lilikuwa wapi> LOLUle ushamba bwana, mchizi alikuwa hamfikisi demu kileleni, hovyo sana. Mkuu Asprin umetupa thread ya ukweli, hebu chukua thanks yangu hapo juu!
Nipo kitandani naperuzi mauzoefu ya wajukuu watiifu, wakorofi, wajanja, wambea, watukutu, wabishi na waliopotea na hatimaye kurudi kundiniAsalaaam aleikhum waungwana...................
Huyu BABU bado tu yupo Kaunta ya juu?
Haya.................ntarudi baadae..............
hahaha!umenichekesha hasira imeisha kabla cjakufikia....naja sasaHalafu na wewe mbea LOL..... nimesoma katikati ya mistari lakini....... hako kahasira usijali, ntakashusha tu!