Hii thread ikihamishiwa jukwaa la chini, wewe na mhuni mwenzio mtakuwa na kesi ya kujibu walah. Khaa!!!
Dah mbona hasira hivyo...........ni hiyo zipu tu au kuna kingine nyuma ya pazia!!!!!!!!!
btw hata ikihamishiwa huko chini hakuna shida .....mie na mpnz wangu tuko na password tutaifuata tu!!!!!
hakyamama nimeamini siku hizi ualimu ni ajira.. sio wito tena.
Manake baada ya zipu huchelewi kumpa na pasiwedi ya naniliu. Invizibo alivo na wivu haka kayuziful sredi atakafutilia mbali walah.
Manake baada ya zipu huchelewi kumpa na pasiwedi ya naniliu. Invizibo alivo na wivu haka kayuziful sredi atakafutilia mbali walah.
ahaahhahahha kaa kushoto!
watu wanataka direct entry ya jukwaa pendwa alah!
kwanza siku hz tunafundisha from priya noleji to new wani!
sasa mwanaunz kam antaka kunyesha vipaji vyake vya asili kuna ubaya?
eti Ennie hebu nitetee collegue!
omg!!!!
muhimu kufurahia ubunifu mengine utajiletea presha bure............... unatoa asante ya nguvu....... unamwambia kesho uje na style nyingine :bange: mambo mapya kila siku na staili mpya
Hapo umenena mambo ya kuchunguza bata mwishowe majanga, ubunifu unaimarisha mahusiano siyo kila siku yaleyale tu.
Ishu ni mwanafunzi kugrajweti BA wakati wewe unafundisha BCom...
Labda alikuwa akitoka darasani kwako....anaingia evining class ya BA......ajira zimekuwa za tabu sana siku hizi......
ni vzr kuwa na different proffesional skills......ili kuweza kumudu soko la ajira!!!!!!!!
enheeeeee
sas li magoti nayo yasiume hebu shika mikono yako yote miwili kweny magoti hapo
eneheee hao hapo!usiiiname sana utaumia mgongo bana! RR KAZI NI KWAKO!