Kwa I'd yako hii au nyingine?
Itakua nina mawenge nimesahauYah.
Maisha ya bongo ukiwa unapiga chapuo maisha yanakunyookea tu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] eti Ajiri hakuna elimu ya bongo bhana alafu bashite Mwenye 0 kaula pale yuko juuu
Sawa tuendelee na hili la Zero IQ.Itakua MNA mawenge nimesahau