Ulikuwa Unashika Nafasi ya ngapi darasani

Ulikuwa Unashika Nafasi ya ngapi darasani

Wengine hapa tukielezea itakuwa kama tunavuna Mijisifa.


Toka shule ya Msingi mpaka A-level Mikondo mitatu(Wanafunzi zaiidi ya 120) kidume anatembea kifua mbele kama amepigwa ngumi ya mgongo kunyakua vijizawadi.


Nakumbuka Wastani wa 94 kidato cha kwanza Masomo 11:-
Bible knowledge,

Chemistry,

Physics,

Biology,

Mathematics,

History,

Kiswahili,

Geography,

English,

Religion,

Civics,


Tanzania tunamfumo kichaa wa Elimu.

Mfumo Uliooza japo unapigwa pafyum uliusinuke.


Ukitaka kuharibu Taifa vuruga Mfumo wote wa Elimu.


Ulazwe Pema Tume ya Makweta.
 
Wengine hapa tukielezea itakuwa kama tunavuna Mijisifa.


Toka shule ya Msingi mpaka A-level Mikondo mitatu(Wanafunzi zaiidi ya 120) kidume anatembea kifua mbele kama amepigwa ngumi ya mgongo kunyakua vijizawadi.


Nakumbuka Wastani wa 94 kidato cha kwanza Masomo 11:-
Bible knowledge,

Chemistry,

Physics,

Biology,

Mathematics,

History,

Kiswahili,

Geography,

English,

Religion,

Civics,


Tanzania tunamfumo kichaa wa Elimu.

Mfumo Uliooza japo unapigwa pafyum uliusinuke.


Ukitaka kaharibu Taifa vuruga Mfumo wote wa Elimu.


Ulazwe Pema Tume ya Makweta.
Ongera sana mkuu
 
Primary 20 out 24 students

O level science class 2-4 out of 80 students

A level science class 2 out of 45 students

Chuo nilizembea so nimetoka na karai za kutosha...

Now niko kitaa nakula maisha tu....
 
Primary 20 out 24 students

O level science class 2-4 out of 80 students

A level science class 2 out of 45 students

Chuo nilizembea so nimetoka na karai za kutosha...

Now niko kitaa nakula maisha tu....
Unakula maisha kwa mishe ipi mkuu?
 
Wakati wote nilikuwa karibu nashikilia mkia ila sijawahi kuushika . Kiubishibishi mpaka form six nikaibuka na 4 inayokaribia zero . Kwa mwanga nilioupata sasa naendesha genge la kisomi na maisha yanasonga mbele . Ni kiubishiubishi kama maisha ya shule .
 
Back
Top Bottom