Alex Tanzania
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 782
- 652
Okey.....hapo kweli nimezingua.....I thought ni mdada.....Amani kwakoKwani huyu mkuu ni madam kweli mbona comment zake huwa zinafanana na za wanaume?
Okey.....hapo kweli nimezingua.....I thought ni mdada.....Amani kwakoKwani huyu mkuu ni madam kweli mbona comment zake huwa zinafanana na za wanaume?
Afadhali demu huyo, Yaani Trust Me Demu akiwa na hulka hiyo fasta anashusha GhorofaKuna wanawake wengine wajanja sana, akijua udhaifu wako kua unapenda kugegeda atakuchuna hatari, maana kila akitaka ela anasingizia ana hamu na dushe wewe unaona unapendwa kumbe anajua saa yoyote akitaka ela anapata na wewe ukitaka papuchi anakupa tuu, maana ashajua udhaifu wako