Ulikuwa unajiuliza wanawake wa mjini wanaishije?

Ulikuwa unajiuliza wanawake wa mjini wanaishije?

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,262
Msichana akitaka PERUVIAN HAIR mpya wala
hahangaiki sana...Anaingia kwenye PHONEBOOK yake
anachagua Madanga yake 20 anayoyaamini kwamba
hayawezi kumuangusha...AnaCOMPOSE Meseji
Tamuuu ambayo kila danga likipokea linahisi hiyo ni
Meseji yake peke yake. "Babe Mambo,Nimekumiss leo hadi nimekuota yaani
nimeamka So Wet I really miss my Pompolimpo,pole
na kazi mme wangu I wish I was there nikumassage
na Ulimi hadi usinzie..Leo Niko zangu tu home sijatoka
nlikuwa naangalia Muvi mara LUKU imekata hapa na
sina hata Salio.Una Sh 30,000 unitumie ninunue Luku babe wangu?Please maana kutoka mpaka ATM saa
hizi usiku.Love you xoxoxo"
Akimaliza Anatengeneza BROADCAST LIST
anawaweka yale Madanga humo halafu anatafuta
Option inaitwa SEND TO MANY,anafowadi lile meseji
TWAAAAP!!Anauchuna kama dakika 5 hivi,meseji za Muamala zinaanza kutiririka kutoka Ukonga mpaka
Tegeta,Sinza mpaka Makongo Juu
"Imethibitishwa umepokea 30,000 kutoka kwa Rajabu
Kistuli"
"Imethibitishwa umepokea 32,000 kutoka kwa Justine
Kipipa" Nusu saa tu kashakusanya LAKI 6 kesho yake
anaamka anaenda dukani kwa heaven hair
anaagiza Peruvian yake ya Inchi 6 jioni unamkuta
NEWS CAFE anawaka huku anakunywa Milkshake ya
Vanilla. We unabaki kujiuliza Demu wa 1st year ana iPhone 6s
kaipata wapi na Bodi ya Mikopo haijaingiza
BOOM,wenzio wana MABOOM BINAFSI wanaCLICK tu
hela kibwena.
Demu akiamua Kupauka ni Maamuzi binafsi tu,Wana
Mbinu hawa Viumbe Balaa,kufa njaa labda awe Mgoloko wa Tandahimba amekuja juzijuzi na Fuso la
Mafenesi ila watoto wa mjini hawaishiwi!
 
Awamu yenyewe hii ya tano...thubutu! Hiyo hela watakuwa wanaipata kwa jasho saana. Maana hata shefa awamu hii anaspend his money more wisely.
 
..anayependa hela ni wa kukomeshwa tu, hakuna kutuma mpesa. Aje ghetto umle...kula kuliwa karne hizi!!
 
Nakubaliana na wewe. Wanaobisha ni wale sura ngumu ambao ni nadra kukuta hata katumiwa meseji wrong number. Woote waobisha na kusema sio wote
 
hivi ni hela imeshuka thamani au wanawake wamepanda bei

30000 mi sikupi
 
Usawa mgumu sana sasahivi sidhani kama maelezo yako yana umweli wowote, hao mademu wategemee kuishi km mashetani tu awamu hii ya tano.
 
ma mafia kama mimi ata elfu 10 yangu awaipati.... yani ninejipinda sana elfu 5 mwisho na papuchi tunakulaaa!!!

hahahahah... kazeni vijeba sio easy kiivo
 
ma mafia kama mimi ata elfu 10 yangu awaipati.... yani ninejipinda sana elfu 5 mwisho na papuchi tunakulaaa!!!

hahahahah... kazeni vijeba sio easy kiivo

Bila kutoa hela utaendelea kutumia sabuni tu.
 
Nisipoonga sijisikii amani kabisa hapa yenyewe najisikia kuchunwa chunwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom