Ulikua baba au mama katika umri gani?

At the age of 15 nikiwa Sekondari.
ilibidi nisimane masomo kwa miaka 2 ili niweze kumkuza vyema mwanangu.

Now boy wangu ana 16 na yuko form 3. Nami nina 30 his dad ana 34.
Huwezi kujua kama ni mwanangu mpaka nikwambie.
Nikiongozana nae watu hujua mdogo wangu kabisa.
Kanipita urefu, na anafanya tizi hivo kajazia.

Kiukweli nilipitia mengi wakati huo...now sina hofu.
 
Daah hongereni wenye watoto.. sisi wengine hata wa kusingiziwa bado na kidevu kinazidi kukomaa kwa kunyoa ndevu. Ila sina haraka kwa sababu napanga kuoa na 30 i hope mtoto ntapata na 32 au 33 pia sio mbaya maana hata mshua alinipata akiwa na 33.
 
angekuwa binti sa hv ungekuwa na mjukuu bahati yako ni ME
 
Daah hongereni wenye watoto.. sisi wengine hata wa kusingiziwa bado na kidevu kinazidi kukomaa kwa kunyoa ndevu. Ila sina haraka kwa sababu napanga kuoa na 30 i hope mtoto ntapata na 32 au 33 pia sio mbaya maana hata mshua alinipata akiwa na 33.
Mkuu usichelewe sana isije wakakuita babu.. unagonga "fifte" dogo ana "fiftini".. just kiding mkuu
 
inawezekana na hiyo hiyo 30 ukapata mtoto-maana hapo kwenye kupata mtoto huwa hapana fomula ni mungu tu
 
Aaah ni kweli kuna umuhimu wa kuwahi ila uhalisia wa maisha lazima uwepo. Kuna watu wamepata watoto mapema, kuna wengine watachelewa na kuna wengine hawatapata kabisa. Ni jinsi tu Mungu anajidhihirisha kwa wanadamu, utaratibu wa maisha hauwezi kuwa perfect kwa watu wote.
 
Yah mkuu kila kitu kinawezekana, hata hapa nasema tu hivi lakina huwezi jua in two years ikawa tayari nimesababisha. Who knows? Ni mipango ya Mungu tu. Kuna wengine wanapenda watoto lakini hawatakuwa na watoto.. yote mipango ya Mungu
 
Aaah ni kweli kuna umuhimu wa kuwahi ila uhalisia wa maisha lazima uwepo. Kuna watu wamepata watoto mapema, kuna wengine watachelewa na kuna wengine hawatapata kabisa. Ni jinsi tu Mungu anajidhihirisha kwa wanadamu, utaratibu wa maisha hauwezi kuwa perfect kwa watu wote.
Yaah.. hapo kuna fact.. mtu unaweza kuwahi kuleta mtoto mapema wakati misingi imara ya malezi na uchumi haijakaa sawa.. matokeo yake makuzi na malezi ya mtoto/watoto yakawa ya kisuasua... ila unaweza kuchelewa kidogo na madogo wakakuta most of the necessary things have been already put in a proper place.. maisha yakawa smooth...
A na B yote ni majibu kaka... Mungu asimamie mizao yetu
 
za leo wana MMU
Napenda tushee storry za maisha yetu kuhusu kuwa mzazi.
je ulipenda mwenyewe kuwa mzazi? ulipata force kutoka kwa wazazi wako kwamba wanataka wajukuu au ilikua bahati mbaya?
Hivi mmu ndio nini.?!
 
Ni kosa kubwa mungu kukujalia mtoto hata hutarajia unasema bahati mbaya mm siwezi jpo nilizaa nipo chuo mwaka wa tatu watu. Walinishauri vbaya but nilihaso na mwanangu pamoja na mama yke mpka nikapata kazi serikaln na sasa namfurahia mtoto Wangu wa kiume kinyama, jpo sikupanga mpka sasa Nina miaka 29
What about mama'ke.?!
 
At the age of 15 nikiwa Sekondari.
ilibidi nisimane masomo kwa miaka 2 ili niweze kumkuza vyema mwanangu.

Now boy wangu ana 16 na yuko form 3. Nami nina 30 his dad ana 34.
Huwezi kujua kama ni mwanangu mpaka nikwambie.
Nikiongozana nae watu hujua mdogo wangu kabisa.
Kanipita urefu, na anafanya tizi hivo kajazia.

Kiukweli nilipitia mengi wakati huo...now sina hofu.
Mmh, madame, are you serious.?
 
Back
Top Bottom