Ulikua baba au mama katika umri gani?

Ulikua baba au mama katika umri gani?

19 Nilitupia nyavu kwa mwanafunzi nikadakwa kama kuku nilipo fika gerezani nikazunga kama vile siyo mtuhumiwa 7bu nilikuwa mdogo sana so askari wa pale wakaniona kama mim ni mtoto wa askari wa pale kituoni nikazunga zunga nikatokea kwenye geti nikasepa mazimaaa hadi leo!

Yule demu kwao walikuwa mambo safi wakamhamishia kwa dada yake alikokuwa anasoma Canada hadi leo sijui kama yupo wala sijawah kuwasiliana nae
Sasa mimba ikawaje?au hakupata Mimba??
 
we kweli jambazi, nimeanza kuamini kweli majina ya watu hapa yanasadiki nafsi zao hapa
 
na
19 Nilitupia nyavu kwa mwanafunzi nikadakwa kama kuku nilipo fika gerezani nikazunga kama vile siyo mtuhumiwa 7bu nilikuwa mdogo sana so askari wa pale wakaniona kama mim ni mtoto wa askari wa pale kituoni nikazunga zunga nikatokea kwenye geti nikasepa mazimaaa hadi leo!

Yule demu kwao walikuwa mambo safi wakamhamishia kwa dada yake alikokuwa anasoma Canada hadi leo sijui kama yupo wala sijawah kuwasiliana nae
mtoto yuko wapi?
 
At 24.
Nlifanya makusudi kwani lengo langu lilikua mpaka nifike 35 nimalize hii kazi ya kuzaa nilee tu.
 
At 20, nyumbani hawakuamini wakajua hapa habari za shule ndiyo basi. Nilivyojifungua nikarudi shule, now mdada ana 8 na mdogo ake ana 1. Kiukweli sijutii na Mungu akipenda nataka nikifka 30 niachane na habari za kuzaa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nilikuwa 3rd year Chuo, 21, nafanya kazi kama 3 ivi then bam! I was expecting! kilichofuatia, mmh ni mshike mshike ya maisha, niko nchi za watu huko, nilimaliza chuo nina mimba ya miezi 9 ndio nikawaambia wazazi wangu...and shit got very real, suddenly i wasn't dreaming anymore. Lakini sijuitii, maisha yamesonga, familia imeongezeka, yote ni mipango ya Bwana.
And the guy married you.?
 
19 Nilitupia nyavu kwa mwanafunzi nikadakwa kama kuku nilipo fika gerezani nikazunga kama vile siyo mtuhumiwa 7bu nilikuwa mdogo sana so askari wa pale wakaniona kama mim ni mtoto wa askari wa pale kituoni nikazunga zunga nikatokea kwenye geti nikasepa mazimaaa hadi leo!

Yule demu kwao walikuwa mambo safi wakamhamishia kwa dada yake alikokuwa anasoma Canada hadi leo sijui kama yupo wala sijawah kuwasiliana nae
Jamaw, acha utani
 
At 20, nyumbani hawakuamini wakajua hapa habari za shule ndiyo basi. Nilivyojifungua nikarudi shule, now mdada ana 8 na mdogo ake ana 1. Kiukweli sijutii na Mungu akipenda nataka nikifka 30 niachane na habari za kuzaa.
Unatoa kizazi?
 
Back
Top Bottom