Ulijuaje mpenzi uliyenaye amekuacha?

Hahahaj mbinu hizo amateurs hawaziwezagi
 
Ukishafikwa na janga ndio utajua hujui
mara paap hawara wako anagongwa na boss wako!
unajikataa tu unaachana nae Wajua extro kinachotufanya mpaka tuwe tunaumia nikuwa na expectations Kubwa Sana ktk mahusiano lakini uki date na mtu date nae kimalaya Malaya tu yaani usimtilie maanani kivile kwanza atakuwa ana kukubali ile mbaya
 
Kiukweli nateseka sana ndugu zangu, huyu mwanamke atanitoa roho. Sijui hana huruma..hivi mtu aliyekupenda na ukampenda sana unaanzaje kumuacha??

Nimetoka kilo 65 mpaka 52. Nina shambulio la moyo sasa kiukweli naona giza bila huyu mwanamke sijui itakuaje πŸ˜”
 
Wewe endekeza ujinga tu ..utakuja kufa kweli halafu Huyo mwanamke anaendelea kutiwa na watu wengine ... Jifunze kujipenda wewe mwenyewe kwanza ktk maisha na hiyo ndio kanuni ya kwanza muhimu kwa binaadamu wanaopenda Mafanikio katika maisha Yao
 
Haki wanaume wa humu mna machungu jamani, hebu sameheni maisha yaendelee. Mapenzi ni matamu jamani, msijifanye wagumu hivyo mnajikomoa wenyewe kukosa raha ya hii dunia ambayo ni kupenda na kupendwa.
 
Sasa muumizwe na mmoja machungu muamishie dunia nzima kweli? Mapenzi matamu sana na hayasusiwi, hebu legezeni mioyo tuwapende hadi mshangae.
thubutu kwamba tumeumizwa na 1 ?? Kuna watu wanaumizwa kila mahusiano waliyo Jaribu kuyaanzisha yamekwenda mrama
 
thubutu kwamba tumeumizwa na 1 ?? Kuna watu wanaumizwa kila mahusiano waliyo Jaribu kuyaanzisha yamekwenda mrama
Aaaah jamani, haiwezekani mtu akawa ni mikosi namna hiyo. Basi yeye ndio atakuwa tatizo, anatakiwa ajitathmini na sio kuyasusia mapenzi.
 
Aaaah jamani, haiwezekani mtu akawa ni mikosi namna hiyo. Basi yeye ndio atakuwa tatizo, anatakiwa ajitathmini na sio kuyasusia mapenzi.
Ohoooo shauri yako .. watu wanapoingia in relationship wote wawili kwa kuwa Ni binaadamu tunatarajia kwamba hakuna mkamilifu so mapungufu lazima yawepo kwa wote ... Ila Sasa mahusiano ya siku hizi mmhh nikichomi na nusu
 
Haki wanaume wa humu mna machungu jamani, hebu sameheni maisha yaendelee. Mapenzi ni matamu jamani, msijifanye wagumu hivyo mnajikomoa wenyewe kukosa raha ya hii dunia ambayo ni kupenda na kupendwa.
Hahaha.

Yani ukiwa mgeni JF unaweza dhania ni wanaume pekee ndio wanaumizwa kwenye mapenzi yani full kulaumu na kulaani hadi wanachosha.
 
Ohoooo shauri yako .. watu wanapoingia in relationship wote wawili kwa kuwa Ni binaadamu tunatarajia kwamba hakuna mkamilifu so mapungufu lazima yawepo kwa wote ... Ila Sasa mahusiano ya siku hizi mmhh nikichomi na nusu
Sasa mahusiano kuwa kichomi si wote mmechangia jamani? Ndo mpambane kuyafanya matamu muenjoy maisha.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…