Sasa Sister! Una mupenz anakidhi vigezo vyote isipokua 6*6 ni mchovu sana. Hivi utaniambia ni haki kumuacha huyu??
If sio haki, nini suluhisho?
...
Unamtazamo m'baya dhidi ya wanaochit!
But beleive me in some situation m/me akicheat ni afueni kwa ke wake & balance of interest ndio inapatikana! Na mahusiano yenu ndio yana go smoothly!
...
Si kila anaechit ni malaya!
Mwenyewe nilishapewa ruhusa ya kuponea nje sometimes!
N akwenye ndoa Mkuu Eiyer kila mtu ana sehemu yake ya kuplay na anatakiwa aiplay vyemaKwenye ndoa kila mmoja ana majukumu yake
Ukilijua hili na mkeo akalijua hili takuwa mmepunguza 60% ya matatizo ya kwenye ndoa!
Kwani wewe hujawahi kuwa na mpango wa nje?
Mbona hujafunguka ulichojifunza kutoka mpango wa kando?
may be i am speaking out of tone ,but i am trying to imagine that, being in a marriage, cheating is inevitable. reason behind is i will loose appetite by s.exing with only one girl for the rest of my life . by saying so i mean for a husband to have a healthier marriage in one way or another he suppose to cheat for him to re-awake appetite to his wife . so cheating has some advantages to husbands' side but not to wife's
Yaani unanidanganya hivi hivi?
Eiyer bana . . .Unaweza kunithibitishia hili?