Ulijifunza nini ulipo.......!!!!!!!!!!

sidhani, nimekuwa mguu ndani mguu nje, niliwah kumwambia ungefanya kitu flani ingekuwa mwisho wetu akanambia sio mbaya pia, nkaona hamna jipya

Kumbeeeeehhhhhhhh!!!!!!!!!!!
 
analysis yako ni kwenye performance kwikwikwi , unaweza kupima performance kwa return on capital employed pia
 

Ha,ha,ha,ha,ha,ha,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!

Asante kwa mauzoefu na kulijua kosa mkuu!!!!
Tafadhali usikane.......lol!!!!!!

I hope ulisalimika ......LOLZZZZZ!!!!!!!!!!!!
 
analysis yako ni kwenye performance kwikwikwi , unaweza kupima performance kwa return on capital employed pia

Duhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ha,ha,ha,ha,ha,ha,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!

Asante kwa mauzoefu na kulijua kosa mkuu!!!!
Tafadhali usikane.......lol!!!!!!

I hope ulisalimika ......LOLZZZZZ!!!!!!!!!!!!
Mkuu Eiyer siwezi kukana maana kuanguka ni kwa kila mwanaume na inapofikia umeanguka usijitetee sijui shetani alinipitia au sijui nililewa au sijui nini wewe kubali na kubaliana na kosa kuwa umenaswa
na ukishakamatwa jiondoe usirudi tena kufukia mashimo uliyoyaacha maana unaweza kunogewa na kuamua kubaki huko huko
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa mkuu

Nikweli mpango wa kando hua ni balaa sana kwenye hilo eneo kwa sababu unajua kabisa unataka nafasi
Ni bora ukajiondoa mapema sana!
 
Kweli kabisa mkuu

Nikweli mpango wa kando hua ni balaa sana kwenye hilo eneo kwa sababu unajua kabisa unataka nafasi
Ni bora ukajiondoa mapema sana!

Ila kwa sasa mkuu mambo ni tofauti unajitahidi sana kujiepusha kutafuta mpango wa kando maana wa sasa utakuwa unafanya kila mbinu kukufanya kitegauchumi maana unajua by the way hapa sina cha kupoteza sipati ndoa wala sipati mtoto kwa huyu mume wa mtu
Ila mbinu zao ni nyingi sana na kila aina ya mbinu zinatumika kuhakikisha wanawakamata wanaume ambao wako macho juu na wana ndoa zao
Taasisi hii ina majaribu sana na usipokuwa makini kwa kwweli kuanguka ni rahisi sana maana vikwazo viko nje nje kuwanasa wale ambao wanaonekana hawana msimamo na hawajua kwa nini wameoa au wameao kwa sababu ya.... au wameao kwa shinikizo kabla ya muda wao au mimba imewafanya waoe
 

Na ukishaoa urudi ku-comment hivi..
 

Mkuu,
Kwanza kujua umekosa ni moja kati ya hatua za kuelekea kwenye kulitatua tatizo
Sasa watu ni wagumu sana kulikubali kosa achilia mbali kulijadili,ndoa ni taasisi ngumu kwakuwa inahitaji mtu anaejitambua ili aifaidi na wengi wetu tunaoa/kuolewa kwasababu za kimazoea tu

Nyumba ninayoishi kuna mabint wawili wameolewa
Siku moja niliwauliza maana ya ndoa ni nini waliishia kunitolea macho tu na kudai hawajui,nikawauliza sasa kwanini wameolewa wakasema wameolewa kwasababu kuna kuolewa

Hebu fikiria unakuta huyo ndio mkeo,hajui hata sababu ya kuolewa atajua mahitaji ya mume kweli?
Si utaishia kwenye mpango wa kando tu?

Kwenye ndoa kama hiyo unajikuta wewe ndio unawaza kuhusiana na kipato cha familia
Unawaza kuhusiana na watoto
Unawaza kuhusiana na kumridhisha mke
Unawaza kuhusu kujiridhisha mwenyewe

Yaani ni full vituko na stress
SI BORA UACHE TU KUOA!!!!!!
 
Mkuu Eiyer huwezi tuu kuacha kuoa kwa kuwa eti kuna stress au kuna mambo lukuki yanakutegemea wewe
Ndio maana nikasema wengi wanaingia kwenye ndoa ni kaka hao mabinti hawajui ni kwa nini wako pale au ni kwa nini wameolewa na wapo wanaume pia ambao ukiwauliza kwa nini wameoa hawajui au wanaweza kukuletea sasa zile za shinikizo kutoka kwa wazazi au marafiki au kwa vile rika lake wote wameoa au kwa kuwa alimpa mimba binti fulani ikamlazimu amuoe japo hampendi au alikuwa hajafikia umri wake wa kufanya hivyo

Sawa mwanaume yako ni majukumu kufikiria hili na lile ila sawa nitayapa muda kufikiria ila niwe na mke ambaye haniongezei stress nyingine yaani licha ya kwamba nina stress zangu na mke nae asiwe another stress in my marriage life sio narudi home nakumbana na mwanamke amenuna kisa sijampigia simu au amenuna tuu bila sababu na ukiongea nae anakubetulia mdomo
Hapo atakuwa anaongeza stress juu ya stress na ndo hapo inaponilazimu kwenda kweney mpango wa kando ambako najua nitapokelewa kwa tabasamu pana japo naongeza gharama za matumizi ila afadhali kuondoa stress zangu
 
Last edited by a moderator:
nilichojifunza: faida yake ni hisia za kuridhishwa kama huyo mtu amemeet expectations zako. hasara zake ni kuwa na guilt kwasababu kiukweli the kitendo is immoral ingawa kujutia huko kwaweza kuwa kwa muda mfupi tu na hasa kama hukufumaniwa, uwezekano wa kurudia tena cheating ni mkubwa sana...I'm being honest...ila mdau na wewe ktk harakati zako za hivi ulijifunza nini?
 
analysis yako ni kwenye performance kwikwikwi , unaweza kupima performance kwa return on capital employed pia

Hahaha! Mkuu umeona perfomance tu kumbe? Caring hujaona? Naposema expectation means kuna vitu either vilikuwepo awali ama unataka ku experience vitu flan so unapodhan huyo unaetoka nae anaweza ku cover hiyo vaccum but ana shindwa ku meet expectation zako so ndo hasara hizo! Au akifikia ndo unalowea na kuhamia kabisa!
 

Kwenye ndoa kila mmoja ana majukumu yake
Ukilijua hili na mkeo akalijua hili takuwa mmepunguza 60% ya matatizo ya kwenye ndoa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…