Ulijifunza nini ulipo.......!!!!!!!!!!

hakuna jipya ni kwaida tu maana zoezi ni lilelile yaani kuingiza na kutoa then unacheua ule uji mzito wa maji ya mchele
(mengine ni mbwebwe tu)
 

Sasa Sister! Una mupenz anakidhi vigezo vyote isipokua 6*6 ni mchovu sana. Hivi utaniambia ni haki kumuacha huyu??
If sio haki, nini suluhisho?
...
Unamtazamo m'baya dhidi ya wanaochit!
But beleive me in some situation m/me akicheat ni afueni kwa ke wake & balance of interest ndio inapatikana! Na mahusiano yenu ndio yana go smoothly!
...
Si kila anaechit ni malaya!
Mwenyewe nilishapewa ruhusa ya kuponea nje sometimes!
 
Huku sikuwezi mkuu_ngoja nielekee kule kwetu mchungaji.

Ha,ha,ha,ha,ha,ha,ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!

Hata kule huniwezi!
 
Kaka Eiyer kutokana na nature ya swali ulilouliza ni ngumu sana mtu kufunguka! Kila m1 atajifanya mtakatifu!
Kiasi kwamba hajawahi kucheat!
...
But believe me wengi wanaochit ni kutokuridhirishwa na wapenzi wao! Kuna ke ni magogo!
Kuna me ni vilaza!
...
Kuna wanaoridhiridhishwa but mahitaji ya hela ndio sababu kuu!
Hawa hawajutii na athari zozote isipokua maradhi!
...
Ingawa kuna vichwa vimepigwa muhuri, hawa lazima wacheat! Hawana hata sababu ya msingi!!!
Nadhani imesomeka hiyo!
 
Last edited by a moderator:

Umeisoma mada ukielewa?
 

Ni kweli mkuu naona wameuogopa mnakasha!
Kila mtu hapa anajidai ni mtakatifu

Lakini ukweli wanaujua wao!
 
Huna mahusiano yenye malengo wewe?
sidhani, nimekuwa mguu ndani mguu nje, niliwah kumwambia ungefanya kitu flani ingekuwa mwisho wetu akanambia sio mbaya pia, nkaona hamna jipya
 
Mkuu,
Hebu funguka bana
Hata kama sio kwenye ndoa hata kule enzi zile bado hujafunga pingu inamaana hujawahi kufanya hii kitu?
Mkuu Eiyer kuna muda unajiona mkosaji sana wakati umefanya kitendo ambacho hukutarajia
Wakati unapojijua kuwa una mtu wako anayekuamini na unayemwamini na ghafla ukapitiwa na mpango wa kando ukachepuka kwenda nje ya muhusika unajiona kabisa mkosaji na unafeel kabisa kuwa umetenda kosa na umemtendea kosa yule uliye nae
Muhimu hapo si kurudia kosa tena na kwenda kwa mwingine ila ni kuacha hizo mambo
kweli kuna muda unanogewa na mpango wa kando mpaka unajihisi ni bora ubaki kule kule ila roho inakusuta haswa ukimfikiria yule uliye nae na namna atakavyoumia atakaposikia kuwa umemsaliti na kama unavyojua mpango wa kando huwa hawalazi dam wakikupata huwa wanaongeza utaalam na mbinu mbadala kuhakikisha kuwa unabaki huko huko
copy AshaDii
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…