Umesema UKIMWI sio ugonjwa ni kama utapiamlo Sasa iweje mnasema unaambukiza kwa ngono kivipi yaani ebu fafanua!Mkuu vipimo vya HIV vipo vingi kile kipimo cha awali unachopimwa hospital kinaitwa Rapid test ambacho kama ikitokea kitaonyesha unaukimwi watu hawataridhika na majibu hayo tu wataenda kwenye kipimo kingine kinaitwa USD bioline/Gold standard then majibu yakija ni positive wataamini lakini majibu yakija ni negative hawataridhika wataenda Tena kwenye kipimo kingine kupima. Lakini pia Kuna uwezekano mtu akapimwa na kuonekana na HIV ilhali Hana ukimwi Kwasababu mbalimbali na Hilo ni somo pia maswala ya True positive na True negative results. Kiongozi mwisho niseme inawezekana kifaa kilichotumika kilikuwa kimeisha muda wake, kifaa kimetambua vinasaba vya maradhi mengine tofauti na virus wa ukimwi na mambo mengine mengi. Uwe na siku njema mkuu
God Bless.Umesema UKIMWI sio ugonjwa ni kama utapiamlo Sasa iweje mnasema unaambukiza kwa ngono kivipi yaani ebu fafanua!
Okay, turudi nyuma ivi unaamini kabisa tiba ya ukimwi imekosekana kabisa licha ya maendeleo makubwa ya teknolojia?God Bless.
Okay ili iwe rahisi kuelezea ni hivi ili daktari aseme mtu anaugonjwa inabidi kuwe na vitu 4 kuwe na 1.kisababishi, 2. Pathology 3. Symptoms/dalili 4. Complications/athari baada ya kudumu Kwa ugonjwa. Kwa mantiki hata Malnutrition/Utapia mlo pia ni ugonjwa Kwasababu una kidhi vitu vyote hapo.
Acha niiweke sawa hapa VVU/HIV na UKIMWI/AIDs.
Mkuu Virusi vya ukimwi Hawa ni wadudu virusi wanaoingia na kushambulia na kudhoofisha Kinga ya mwili na kupelekea Upungufu wa Kinga mwilini(UKIMWI).
Kwahiyo kama swali VVU ni ugonjwa jibu litakuwa ni hapana ila kama swali ni UKIMWI ni ugonjwa jibu litakuwa ni ndy Kwasababu vimekidhi vigezo vyote.
Mwanzo kusema si ugonjwa nilijibu hvy Kwasababu nilihisi inawezekana na wewe unao usijisikie vibaya. Ila baada ya kujua ni challenge Hilo ndy jibu sahihi mkuu.
Tukizungumzia kuamini nitasema hapana dawa ya UKIMWI ipo ila tukizungumzia uhalisia wa mambo yalivyo na nnavyoona nitasema tu dawa Hamna.IOkay, turudi nyuma ivi unaamini kabisa tiba ya ukimwi imekosekana kabisa licha ya maendeleo makubwa ya teknolojia?
Tunayo miti mingi yenye uwezo wa kuponya kila aina ya ugonjwa chini ya jua ni kwamba tu tumekosa maarifa kwasababu babu na bibi zetu hawakututunzia kumbukumbu za tiba za asili katika maandishi, na utandawazi umeua wazee wote na kutuletea watoto WALIOZEEKA ambao pia wanajaribu kutuaminisha kwamba vya Wazungu ni bora kuliko vyetu. watu wanaotumia copy and paste badala ya kufikiriTukizungumzia kuamini nitasema hapana dawa ya UKIMWI ipo ila tukizungumzia uhalisia wa mambo yalivyo na nnavyoona nitasema tu dawa Hamna.
Kidumu chama cha cha mapinduzi,kumbe kidumu chenyewe kimechakaa na kutoboka🏃Ni Kitu gani ulifundishwa shuleni Lakini Sasa ivi umegundua kama ulidanganywa maana haikuingii akilini
Ukipona si biashara itadorora? Siamini kama hakuna tiba.Huu mjadala ni mzito Ina maana pamoja na ukuaji mkubwa wa teknolojia wameshindwa kabisa kupata tiba ya ukimwi?
Umenena vema kabisa. Mimi niliacha miaka mingi kuwa mteja wa pharma industry.Tunayo miti mingi yenye uwezo wa kuponya kila aina ya ugonjwa chini ya jua ni kwamba tu tumekosa maarifa kwasababu babu na bibi zetu hawakututunzia kumbukumbu za tiba za asili katika maandishi, na utandawazi umeua wazee wote na kutuletea watoto WALIOZEEKA ambao pia wanajaribu kutuaminisha kwamba vya Wazungu ni bora kuliko vyetu. watu wanaotumia copy and paste badala ya kufikiri
Ndio sababu Mwafrika wa leo kuishi tu miaka 80 ni ndoto ambayo hata kuiota tu ni ndoto pia.
Katika dunia ya leo yenye maendeleo makubwa ya sayansi na madaktari wengi wabobezi, sasa Jiulize kwanini pia magonjwa yameongezeka na afya ya mwanadamu imezidi kushambuliwa na magonjwa ya kila aina?
Magonjwa ndio biashara kubwa zaidi duniani ambayo inakiingizia Kiwanda cha Tiba matrilioni ya dolari kila mwaka. Wanasema, “kutengeneza biashara, tengeneza tatizo, kisha tengeneza suluhisho la hilo tatizo uwauzie wahanga. Lakini hawaishii hapo. Wanaendelea, “Huwezi kutengeneza pesa nyingi toka kwa mgonjwa anayepona - mfanye aendelee kuwa mgonjwa ili awe mteja wa kudumu!”
Makampuni makubwa ya dawa za kifamasia yamefanikiwa kuuongopea ulimwengu kwamba magonjwa kama Saratani, sikoseli, Presha, Pumu, Selimundu, HIV/ARVs, Kisukari, Utasa, na mengineyo hayawezi kupona.
Ni sawa, wakikupa dawa za kukuponya si hutoenda tena kununua dawa! Huoni kama hii itaathiri biashara yao”
“Kwanini basi hospitali wanakwambia magonjwa haya hayaponi?”
Leo fluoride inatiwa kwenye mfumo wa umma wa maji ya kunywa na kwenye dawa za meno ili kuimarisha meno yetu. Unajua ni kwanini?
Kutengeneza biashara, tengeneza tatizo kisha tengeneza suluhisho la tatizo uwauzie wahanga”
Big Pharma ni maharamia wa afya zetu ambao wanatumia mbinu za kihuni ili biashara yao iendelee kustawi. Wanatengeneza magonjwa, wanakutia hofu kupitia vyombo vikubwa vya habari pamoja na Shirika la Afya Duniani, kisha wanatengeneza dawa za kuyatuliza magonjwa hayo lakini wanazitia viambata-sumu ambavyo vitakusababishia matatizo mengine tena ya kiafya ili uwe mteja wa kudumu.
Vilevile wanaendelea kuua uoto wetu wa asili kwa kupitia mbolea na madawa ya kilimo kisha wanatuletea mimea yao ya kisasa ili usiweze kupata kwa urahisi mimea sahihi kwa ajili ya kujitibu ukapona.
Siku hizi kila kitu ni cha kisasa. Vyakula, matunda, mifugo,... Zamani ulikuwa ukipikwa wali unanukia mtaa mzima. Siku hizi unaweza kupika wali jikoni halafu mtu aliye sebuleni asijue. Mchele wa kisasa. Kila kona ni GMO.
Wametengeneza tatizo ili waje watuuzie dawa na vifaa-tiba.
Ustawi wa biashara yao upo katika kuendelea kukuongezea wewe matatizo; sio kukuponya. Ndio sababu vilevile wanaamini sana katika kukukata viungo kuliko kukuponya.
Wanakukata govi wakidai ndiyo unakuwa msafi. Ukiugua kidole tumbo utaambiwa kinapaswa kikatwe kiondolewe. Ukiugua bawasiri utaambiwa unatakiwa ukatwe sehemu za puru. Ukiwa na saratani utaambiwa ukatwe kiungo kilichoathirika.
Ukiwa na jino bovu utaambiwa ling’olewe. Kwanini kiungo "kilichoathirika kisitibiwe bila kuondolewa? Wanajua ukipunguzwa kiungo chochote, tayari unakuwa umejitengenezea mwanya mkubwa wa kupatwa na maradhi zaidi.
Sio kosa lako wewe daktari kuwambia watu UKIMWI au ugonjwa fulani hauwezi kupona. Umefundishwa hivyo! Wachache wanaojinasua toka kwenye kifungo hiki cha mafunzo ya kibepari huamua kujikita kwenye tafiti binafsi za miaka mingi na kuja na tiba za uhakika za magonjwa ambayo walimu wao wa vyuo vikuu waliwafundisha kwamba hayaponi
Wapo Wengine kwakuwa wamepata elimu ya kimagharibi wanahofia wakionekana wanatumia dawa za mitishamba wataitwa washamba; kwamba elimu yao haijawakomboa.
Unaogopa kuitwa mshamba halafu unakubali kutumbukia shimoni? Ni hekima kuikimbia hatari! Kuna wakati unapaswa uifuate miguu yako; sio kichwa chako.
Leo hii ni kawaida vilevile kukuta Mwafrika anasema “Mimi nimeokoka, imani yangu hainiruhusu kutumia mitishamba.” Hakuna utumwa mbaya kama ule wa kuamini uko huru.
Ukweli ni kwamba suluhisho la matatizo yako ya kiafya halihitaji matibabu ya gharama kubwa; suluhisho lipo kwenye mazingira yako. Kazi ya mikono ya Mungu!
Dawa za asili zinazoweza kutibu kila aina ya ugonjwa chini ya jua zinapatikana katika mazingira yetu, nje ya nyumba zetu, kwenye mashamba na bustani zetu na kwenye misitu na mapori yetu.
Hivi ndivyo mababu na mabibi walivyoishi mpaka wakafikia umri wa miaka 100 na zaidi wakiwa imara kabisa !
Nimekuelewa sana mkuuTunayo miti mingi yenye uwezo wa kuponya kila aina ya ugonjwa chini ya jua ni kwamba tu tumekosa maarifa kwasababu babu na bibi zetu hawakututunzia kumbukumbu za tiba za asili katika maandishi, na utandawazi umeua wazee wote na kutuletea watoto WALIOZEEKA ambao pia wanajaribu kutuaminisha kwamba vya Wazungu ni bora kuliko vyetu. watu wanaotumia copy and paste badala ya kufikiri
Ndio sababu Mwafrika wa leo kuishi tu miaka 80 ni ndoto ambayo hata kuiota tu ni ndoto pia.
Katika dunia ya leo yenye maendeleo makubwa ya sayansi na madaktari wengi wabobezi, sasa Jiulize kwanini pia magonjwa yameongezeka na afya ya mwanadamu imezidi kushambuliwa na magonjwa ya kila aina?
Magonjwa ndio biashara kubwa zaidi duniani ambayo inakiingizia Kiwanda cha Tiba matrilioni ya dolari kila mwaka. Wanasema, “kutengeneza biashara, tengeneza tatizo, kisha tengeneza suluhisho la hilo tatizo uwauzie wahanga. Lakini hawaishii hapo. Wanaendelea, “Huwezi kutengeneza pesa nyingi toka kwa mgonjwa anayepona - mfanye aendelee kuwa mgonjwa ili awe mteja wa kudumu!”
Makampuni makubwa ya dawa za kifamasia yamefanikiwa kuuongopea ulimwengu kwamba magonjwa kama Saratani, sikoseli, Presha, Pumu, Selimundu, HIV/ARVs, Kisukari, Utasa, na mengineyo hayawezi kupona.
Ni sawa, wakikupa dawa za kukuponya si hutoenda tena kununua dawa! Huoni kama hii itaathiri biashara yao”
“Kwanini basi hospitali wanakwambia magonjwa haya hayaponi?”
Leo fluoride inatiwa kwenye mfumo wa umma wa maji ya kunywa na kwenye dawa za meno ili kuimarisha meno yetu. Unajua ni kwanini?
Kutengeneza biashara, tengeneza tatizo kisha tengeneza suluhisho la tatizo uwauzie wahanga”
Big Pharma ni maharamia wa afya zetu ambao wanatumia mbinu za kihuni ili biashara yao iendelee kustawi. Wanatengeneza magonjwa, wanakutia hofu kupitia vyombo vikubwa vya habari pamoja na Shirika la Afya Duniani, kisha wanatengeneza dawa za kuyatuliza magonjwa hayo lakini wanazitia viambata-sumu ambavyo vitakusababishia matatizo mengine tena ya kiafya ili uwe mteja wa kudumu.
Vilevile wanaendelea kuua uoto wetu wa asili kwa kupitia mbolea na madawa ya kilimo kisha wanatuletea mimea yao ya kisasa ili usiweze kupata kwa urahisi mimea sahihi kwa ajili ya kujitibu ukapona.
Siku hizi kila kitu ni cha kisasa. Vyakula, matunda, mifugo,... Zamani ulikuwa ukipikwa wali unanukia mtaa mzima. Siku hizi unaweza kupika wali jikoni halafu mtu aliye sebuleni asijue. Mchele wa kisasa. Kila kona ni GMO.
Wametengeneza tatizo ili waje watuuzie dawa na vifaa-tiba.
Ustawi wa biashara yao upo katika kuendelea kukuongezea wewe matatizo; sio kukuponya. Ndio sababu vilevile wanaamini sana katika kukukata viungo kuliko kukuponya.
Wanakukata govi wakidai ndiyo unakuwa msafi. Ukiugua kidole tumbo utaambiwa kinapaswa kikatwe kiondolewe. Ukiugua bawasiri utaambiwa unatakiwa ukatwe sehemu za puru. Ukiwa na saratani utaambiwa ukatwe kiungo kilichoathirika.
Ukiwa na jino bovu utaambiwa ling’olewe. Kwanini kiungo "kilichoathirika kisitibiwe bila kuondolewa? Wanajua ukipunguzwa kiungo chochote, tayari unakuwa umejitengenezea mwanya mkubwa wa kupatwa na maradhi zaidi.
Sio kosa lako wewe daktari kuwambia watu UKIMWI au ugonjwa fulani hauwezi kupona. Umefundishwa hivyo! Wachache wanaojinasua toka kwenye kifungo hiki cha mafunzo ya kibepari huamua kujikita kwenye tafiti binafsi za miaka mingi na kuja na tiba za uhakika za magonjwa ambayo walimu wao wa vyuo vikuu waliwafundisha kwamba hayaponi
Wapo Wengine kwakuwa wamepata elimu ya kimagharibi wanahofia wakionekana wanatumia dawa za mitishamba wataitwa washamba; kwamba elimu yao haijawakomboa.
Unaogopa kuitwa mshamba halafu unakubali kutumbukia shimoni? Ni hekima kuikimbia hatari! Kuna wakati unapaswa uifuate miguu yako; sio kichwa chako.
Leo hii ni kawaida vilevile kukuta Mwafrika anasema “Mimi nimeokoka, imani yangu hainiruhusu kutumia mitishamba.” Hakuna utumwa mbaya kama ule wa kuamini uko huru.
Ukweli ni kwamba suluhisho la matatizo yako ya kiafya halihitaji matibabu ya gharama kubwa; suluhisho lipo kwenye mazingira yako. Kazi ya mikono ya Mungu!
Dawa za asili zinazoweza kutibu kila aina ya ugonjwa chini ya jua zinapatikana katika mazingira yetu, nje ya nyumba zetu, kwenye mashamba na bustani zetu na kwenye misitu na mapori yetu.
Hivi ndivyo mababu na mabibi walivyoishi mpaka wakafikia umri wa miaka 100 na zaidi wakiwa imara kabisa !
Kwamba bendera ya taifa ina rangi ya manjano. Kumbe ni uongo, bendera ya taifa la Tanzania ina rangi ya dhahabu na sioya njanoNi Kitu gani ulifundishwa shuleni Lakini Sasa ivi umegundua kama ulidanganywa maana haikuingii akilini
NASA waliowahi kwenda MWEZINI na NASA.
Zinaitwa Sayari Kibete mpaka sasa zipo tano , Ni sayari ila zinapungua sifa ndo maana tunaziita Dwarf planets , mfano ili kitu kiitwe sayari inabidi iwe na sifa ya kuzunguka jua , Pluto anayo hii sifa , pia iwe na umbo la duara maana yake nguvu ya uvutano (gravity) iwe inaivuta sayari iwe karibu na kufanana na umbo la duara Pluto pia hii sifa anayo.Kwamba kuna sayari 9
Mwaka 2006, pluto ilikuwa disqualified,
Ukweli kuna sayari 8 katika mzunguko wa jua, unaoambatana na sayari ya dunia
Na kuna mizunguko mingi ya jua ambayo sio ya mzunguko huu wa kwetu
Kiswahili kigumu. Explain better in english
Duh!Kwamba bendera ya taifa ina rangi ya manjano. Kumbe ni uongo, bendera ya taifa la Tanzania ina rangi ya dhahabu na sioya njano
Nyuma kampakiza BataKuku kapanda baiskeli