Ulifundishwa Nini Uongo Shuleni?

Kuna mtu umenifananisha nae??shule gani hiyo Dar ambayo unahisi??
Hilo jina la lost file Kuna jamaa alipenda kulitumia sana Sasa nimeona haiwezekani kuwa ni wewe that's why nimeona niachane na Hilo jambo
 
Dunia ni kama tufe!!

1,040 mph dunia inalizunguka jua!!!
Huu ni UWONGOOOO
 
Nyie madaktari mna siri sana kwani ukimwi ni ugonjwa?
Hapana mkuu ukimwi sio ugonjwa ni upungufu wa Kinga zinazoulinda mwili zinapopungua sana zinaweza kupelekea mtu kupata maradhi ambayo yanawanyemelea sana watu wenye Kinga za mwili chache. Sasa hayo maradhi mara nyingi yanawakuta watu wenye ukimwi mkuu. Inshort yule virus anaesababisha upungufu wa Kinga mwilini hawezi na hakuna dawa inayoweza kumuuwa Moja Kwa Moja that's Tuna sema hautibiki.
 
Je huyo virus anaonekana kwenye vipimo vyenu kama kipimo Cha maralia? Na je kwanini nikipima ukimwi Tanzania naweza kuambiwa Positive alafu nikaenda Kenya nikaambiwa negative?
 
Je huyo virus anaonekana kwenye vipimo vyenu kama kipimo Cha maralia? Na je kwanini nikipima ukimwi Tanzania naweza kuambiwa Positive alafu nikaenda Kenya nikaambiwa negative?
Mkuu vipimo vya HIV vipo vingi kile kipimo cha awali unachopimwa hospital kinaitwa Rapid test ambacho kama ikitokea kitaonyesha unaukimwi watu hawataridhika na majibu hayo tu wataenda kwenye kipimo kingine kinaitwa USD bioline/Gold standard then majibu yakija ni positive wataamini lakini majibu yakija ni negative hawataridhika wataenda Tena kwenye kipimo kingine kupima. Lakini pia Kuna uwezekano mtu akapimwa na kuonekana na HIV ilhali Hana ukimwi Kwasababu mbalimbali na Hilo ni somo pia maswala ya True positive na True negative results. Kiongozi mwisho niseme inawezekana kifaa kilichotumika kilikuwa kimeisha muda wake, kifaa kimetambua vinasaba vya maradhi mengine tofauti na virus wa ukimwi na mambo mengine mengi. Uwe na siku njema mkuu
 

Attachments

  • Screenshot_20261009-202759.jpg
    172.3 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…