Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,426
- 7,942
- Thread starter
-
- #21
Mkuu sayari za kale zipo sabaKwamba kuna sayari 9
Mwaka 2006, pluto ilikuwa disqualified,
Ukweli kuna sayari 8 katika mzunguko wa jua, unaoambatana na sayari ya dunia
Na kuna mizunguko mingi ya jua ambayo sio ya mzunguko huu wa kwetu
Kiswahili kigumu. Explain better in english
Ndio waliosoma miaka ya 70s sayari zilikuwa sabaMkuu sayari za kale zipo saba
Ww Leta tuu hy listKama shule za madrasa zinakubalika kama shule tupe mwongozo, list ni ndefu sana
Ndio, Jitu la kienyeji hapaKwamba kuku wa kienyeji ni mnyama aina ya ndege
Ila nikipita huko vijijini kuwa watu wanaitwa.....kuku wa kienyeji
Nasubiri mwongozo bossWw Leta tuu hy list
Hv kwann wengine wanaita madrasa ni chuo?
Weka uongo wote mkuu mpaka watu wazindukeKama shule za madrasa zinakubalika kama shule tupe mwongozo, list ni ndefu sana
Bata kavaa RaizoniKuku kapanda baiskeli
Ila Huu uongo haujatokea shuleni japo ni uongo kabisa.Bata kavaa Raizoni
Wakati wanafundisha utata ktk sentensi walitumia sana mfano huo (Mbuzi).Ila Huu uongo haujatokea shuleni japo ni uongo kabisa.
Sasa mkuu Huu ni uongo au ni ukweli?Heshimu wazazi wako uweze kuishi miaka mingi
Ni uongo, inazuia udadisi na uvumbuzi, kwa kuwa unawafanya watoto kuwa na akili za kikondoo.Sasa mkuu Huu ni uongo au ni ukweli?
Mzee by professional Mimi daktari nakwambia huu unyama ni hatari hautibiki kweli.Ukimwi hautibiki
Primary school ulisoma shule gani mkuu.Elimu ni ufunguo wa maisha