Ulifanyaje pale ulipokata tamaa ya kusoma

Ulifanyaje pale ulipokata tamaa ya kusoma

Passed

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2017
Posts
561
Reaction score
161
Kuna vitu mbalimbali vinavyoweza kukufanya ukate tamaa mi binafsi maisha magumu ya mkoa nilokwepo nina kipato kidogo lakini bado nina uhitaji wa kusoma wengine hukata tamaa kutokana na ugumu wa masomo kwangu mimi kwenye masomo nafanya vizuri tu naombeni ushaur nifanyeje mana kama mjuavyo elimu ndo kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasoma na kufanya kazi au unasoma tuu kama unasoma na kufanya kazi bac usikate tamaa iko iko kidogo vumilia maisha ni uvumilivu hata mm nilipitia maisha magumu mno miaka ya 2014 mpaka 2016 mwezi wa 5 ndo nikaona mwangaza katika maishs yangu pambana usikate tamaaa....

Sifany kaz my naomba no yako bax unishaur vizur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm Maza alizima nikiwa F4, kiukweli nlikata tamaa coz she was everything to me. NECTA Results zilipotoka, zikaonyesha nimefaulu na kuchaguliwa A level... basi tena nikatoboa mpk Chuo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom