Ulifanyaje baada ya kukutana na show mbovu?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
36,390
Reaction score
30,957
Ulichukua hatua gani?
Nini kilifanyika hata ukaona, kwamba hiyo show ni mbovu na hujwahi kukutana nayo tangu uyajue mapenzi?
Muafaka ulikuaje sasa baada ya show hiyo mbovu na ya kiwango cha chini sana ya kimapenzi?

nani alikua kikwazo na mzigo kwenye show hiyo mbovu kati yenu? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
 
Aliyesababisha akiwa mchina tutapigwa sana kunfu sijui itakuaje kama ni mzungu au mhindi
download (2).jpeg
 
Ulichukua hatua gani?
Nini kilifanyika hata ukaona, kwamba hiyo show ni mbovu na hujwahi kukutana nayo tangu uyajue mapenzi?
Muafaka ulikuaje sasa baada ya show hiyo mbovu na ya kiwango cha chini sana ya kimapenzi?

nani alikua kikwazo na mzigo kwenye show hiyo mbovu kati yenu? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
No reforms no election
 
Back
Top Bottom