Political stability
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 906
- 1,396
Jamani, mliofanakiwa kujiajir haswa kwenye maswala ya biashara mliwezaje? Mpaka mkafika hatua ya biashara kusimama, na kujiendesha yenyewe, na kufanya maendelea binasfi kupitia hiyo biashara..
Maana, Mwanzo wa biashara huwa ni mgumu sana, yani full stress, kuongezeka kwa gharama za Ku run biashara, na changamoto kedekede..
Tupeni mbinu, mliofanikiwa kwa haya, ili tulianza biashara tusikate tamaa, tuendelee kupambana .