snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,320
Unafungua saccos?
Nikuchukulie fomu?
Unafungua saccos?
Mkuu umenichekesha sana kwa wakenya hapo..chezea maisha yakikunyuka wewe,yaani utajaribu kila mbinu,usikute enzi zake yuko juu alikua ana nyodo sana kwa mamen.
Wakenya husema ,we msupu fanya nyodo kwa guys ndo utakuja jua menopause si ugonjwa ya meno.
Habari,.
kwa moyo mweupe kabisaa...bila kulazimishwa na mtu yoyote,nimeamua kupost huu uzi hapa nikiamini ntakuwa faraja kwa mmoja wa wahusika hawa!!.
mwanaume ulieumizwa kimapenzi au kukosa furaha ya maisha ingawa kwa namna fulani,.hadi ukafikia hatua ya kuyachukia kabisa...sikushawish kurudi huko ila nahitaji kuwa kampani yako...mshauri wako na mengine mengi!!,sichagui umri,rangi,dini wala kabila,atleast uwe na maisha yako matulivu!!.
pia nafasi hii iende kwa masingle father,.baba anaelea watoto wake peke yake pia anakaribishwa!!.ntajitahdi kuwa faraja kwako,na kukupa furaha pengne uliikosa kutokana na mazingira au kazi!!. am addicted to babiez.. !serious.
ni PM panapo majaliwa tutatafutana Watsapp na mengne....
NB; tafadhali,wa~mme za watu wenye wake zenu hamruhusiwi,pamoja na wanaume mliopo kwenye uchumba au mahusiano ya kimapenzi.
Jioni Njema.
Utawapa "faraja" gani??
je, utachagua mmoja kati ya watakaotuma maombi au utatoa "faraja" kwa wote??,
Good! Weka specification zako hapo ukianza na umri ...
Mh..ana mbiiinu. Kwli maisha magumu.amesema mPM chumbani yeye atakupa yote sio hapa hadharani
kwani unamuhitaji ?
Habari,
Wiki hii au ijayo...Natafuta mwanaume anaejua kuogelea maji mafupi na maji marefu,
Nahitaji mwalimu mzuri,
Awe mrefu kidogo,mwili wa mazoezi!,asiwe mweupe sana,akiwa mweusi ni sawa ila usipitilize!!..
Ajue utundu wa ndani ya maji,
Sauti na kujua kuimba ni sifa ya ziada!!.
Umri 23~30.!
Nikifurahishwa na somo lako nikajua haraka basi utapata ofa ya kuangalia muvi na mimi/kuspend usiku mzima tukipiga stori.
NB; Gharama zote kwako.
thread imejieleza best si umeona pale juu?
maswali yenu jamani haaa!!
Mh..ana mbiiinu. Kwli maisha magumu.
..mie sijaelewa, ni faraja gani hiyo??
wewe waweza nipa faraja??
..mie sijaelewa, ni faraja gani hiyo??
wewe waweza nipa faraja??
anaamanisha yule aliyezinguliwa na mwandani wake na kutendwa
aende kwake atapata faraja kwake mm nilivyomuelewa mtoa mada
kwani wewe umekosa faraja; mpaka utake faraja toka kwangu?
Mimi sina faraja kwa kweli, Ni mpweke na mhitaji..lol
pole mwaya kwa kukosa huo upweke ipo siku Mungu atakuondolea upweke ulionao dhidi kumuomba yeye kwani ndiye anayeweza yote bestito jifanye kama hujajiona jinsi ulivyompweke
nakushauri kuwa mtu wa maombi, sana na vilevile pendelea kusoma vitabu mbalimbali vya kukuchangamsha, na vilevile pendelea kuwa katika majumuiko kama vile fellowship za kiroho au mpira kama wewe ni mpenzi wa mpira, au kuwa na marafiki tofauti wenye mambo ya kimaendeleo na kukupa kampani ukifanya hivyo utaondoka na hiyo hali ya kujiona mpweke nakuhahakikishia kabisa best usijali kwa hilo
Je ulishawahi kupitia hali tofauti kama vile kutendwa vibaya? samahani kma nitakuwa nimekuboa kwa swali hili