Ulieumizwa Karibu

Ulieumizwa Karibu

afadhali!!!!!!!!!
wangekuja na wengine wenye roho kama yako!!!
 
chezea maisha yakikunyuka wewe,yaani utajaribu kila mbinu,usikute enzi zake yuko juu alikua ana nyodo sana kwa mamen.

Wakenya husema ,we msupu fanya nyodo kwa guys ndo utakuja jua menopause si ugonjwa ya meno.

hahahahahahhahahahahahahaha mbavu zangu mie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom