Mom Fay
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 1,059
- 316
Habari.
Kwa moyo mweupe kabisaa bila kulazimishwa na mtu yoyote, nimeamua kupost huu uzi hapa nikiamini ntakuwa faraja kwa mmoja wa wahusika hawa.
Mwanaume ulieumizwa kimapenzi au kukosa furaha ya maisha ingawa kwa namna fulani,.hadi ukafikia hatua ya kuyachukia kabisa...sikushawish kurudi huko ila nahitaji kuwa kampani yako...mshauri wako na mengine mengi!!,sichagui umri,rangi,dini wala kabila,atleast uwe na maisha yako matulivu!!.
pia nafasi hii iende kwa masingle father,.baba anaelea watoto wake peke yake pia anakaribishwa!!.ntajitahdi kuwa faraja kwako,na kukupa furaha pengne uliikosa kutokana na mazingira au kazi am addicted to babys
ni PM panapo majaliwa tutatafutana Watsapp na mengne.
NB; tafadhali,wa~mme za watu wenye wake zenu hamruhusiwi,pamoja na wanaume mliopo kwenye uchumba au mahusiano ya kimapenzi.
Jioni Njema.