Ulichosomea kimekutoa kimaisha?

Ulichosomea kimekutoa kimaisha?

Kumbukumbuyatorati

Senior Member
Joined
Jul 27, 2018
Posts
152
Reaction score
221
Lengo la uzi ni kuwapa moyo vijana wanaoendelea na masomo yao na wanaokaribia kuanza masomo yao.
Maana kumekuwa na maswali mengi kuhusu uzuri wa degree program nzuri.
Ni vyema ukataja ulichosomea na umefanikiwaje katika ulichosomea.
Binafsi bsc in biology nipo hapa ajira kizungumkuti tunapambana na hali zetu sifikirii kama ntakuja kukitumia cheti maana naona chenga tu.
Karibu
 
Na sie wa elimu za ngumbaro tusemeje?

Lakini kama nimejifuna kusoma, kuandika na kuhesabu na nnavitumia mfano hata kuingia na kushiriki JF si inatosha?

Unaposema umetoka kimaisha, unapima kwa vitu gani?
 
Nje ya mada
 
Nje ya mada

Ok, kutoka kimaisha unakutafsiri vipi na unatumia vigezo vipi?

Ni kuweza kuhudumia familia, kuoa, kuwa na usafiri, kuwa na makazi, kumiliki kiasi cha pesa au kuwa na vitu gani?

Nimetaka kujua tafsiri kwanza ya kutoka kimaisha. Mwingine kuwa na ajira tayari ametoka wakati mwingine kuwa na kiwango flani cha pesa ndio kutoka.

Kwa mfumo wa elimu yetu, ni kazi sana ulichokisomea kikakunufaisha moja kwa moja.
 
Ni miaka mingapi baada ya chuo ndio natakiwa nijue kimenitoa au bado nambwela mbwela?
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Ok, kutoka kimaisha unakutafsiri vipi na unatumia vigezo vipi?

Ni kuweza kuhudumia familia, kuoa, kuwa na usafiri, kuwa na makazi, kumiliki kiasi cha pesa au kuwa na vitu gani?

Nimetaka kujua tafsiri kwanza ya kutoka kimaisha. Mwingine kuwa na ajira tayari ametoka wakati mwingine kuwa na kiwango flani cha pesa ndio kutoka.

Kwa mfumo wa elimu yetu, ni kazi sana ulichokisomea kikakunufaisha moja kwa moja.
Ni kuweza kuhudumia familia, kuoa, kuwa na usafiri, kuwa na makazi, kumiliki kiasi cha pesa .
 
Back
Top Bottom