Ulianzaje kukaa gheto?

Daa umepambna mkuu..Naamini saiz akili yako sio sawa na waliokaa nyumbani...
 
Tunakufuatilia maana humu ndani kuna wakina shigongo wengi sana...
 
Mimi nina 23 years now, nimeanza kuishi geto nikiwa na miaka 19, baada ya kupote ada ya chuo million 2 na nusu ila saiv maisha yanaenda vzr tu namshukuru Mungu kwa kupoteza hela nilikimbia kipigo cha mzeee baba
Mwanamke anayekaa geto lake bila ya utegemezi wa wazazi/bwana wake huwa namuappreciate sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…