Ulianza kufanya mapenzi ukiwa na miaka mingapi?

Miaka mingi sana! Nashangaa siku hizi nikipiga show ya "from back" magoti yanauma! Kweli umri umesogea
 
Kizazi hubadirika, zamani sisi mtu unaenda kuyajulia mapenzi chuo huko au ukianza kabisa kazi.
Siku hizi tutoto twa darasa la sita tayari tunaitana sweet, baby n.k
 
Nimeanza zamani sana kufanya mapenzi nikiwa na miaka kama 13 hivi ila kitu pekee ambacho sijawahi ni KUFANYA UZINZI
 
Unauliza kufanya mapenzi au kufanya ngono?
 
We mpuuzi bado tu unaaminisha watu una uvulana๐Ÿ˜ƒ
Kama hauamini bado nna uvulana wangu, Njoo unijaribu then utawaletea majibu kuwa umeona lailon au hujaona ๐Ÿ˜Ž
 
Mwaka wa 35 huu bado nna uvulana wangu, uboo bado una lailon

Mke wangu baada ya ndoa ndie atakayeniharibia uvulana wangu.
Hii imeenda ๐Ÿ˜‚

Endelea kujitunza Mkuu, ila ukumbuke kiungo kisipotumika muda mrefu huwa kinaishiwa nguvu au ukubwa according to darwinism theory

Kwahiyo angalia kisibaki kifutio bure ๐Ÿ˜œ
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ