Ulevi wa Madaraka utamtokea puani Mkulo?

Mpitagwa

JF-Expert Member
Feb 10, 2012
2,339
1,119
WanaJF, leo bungeni kuna mheshimiwa mmoja amehoji kauli ya Mh. MKulo akiwa waziri wa fedha kuwa aliituhumu kamati ya POAC kuwa ilihongwa mil 60. Na amemtaka mkulo afute kauli yake au alete ushahidi? Hivi akifuta kauli ndoo utakuwa mwisho wake au kuna hatua anazotakiwa achukuliwe kwa kudanganya kwa nguvu wakati akiwa amelewa madaraka?
 
Akifuta kauli yatakuwa yamekwisha. Kama angekuwa wa CDM yangempata kama yaliyompata Zitto kwenye lile sakata lake na Karamagi. Ingawa Zitto alikuwa sahihi, lakini hoja zake zilizimwa kwa wingi wa kura za magamba bila kuzingatia ukweli. Hawa watamalizana kwenye vikao vyao vya chama.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom