Ulevi noma

Ulevi noma

Luthar

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2011
Posts
519
Reaction score
105
Jamaa mmoja alipiga tungi akawa bwax akawa amelala akaota amekuwa mwanamke anajifungua akawa anasukuma mtoto alipo shituka ndotoni akakuta kajaza mi mav
 
Huyo jamaa atakuwa ni wewe nini?
 
Jamaa mmoja alipiga tungi akawa bwax akawa amelala akaota amekuwa mwanamke anajifungua akawa anasukuma mtoto alipo shituka ndotoni akakuta kajaza mi mav

Hahahahahah...., ana bahati amejifungua kawaida.
 
Umenikumbusha jamaa mmoja nae baada ya pombe akiwa usingizi aliota ameokota fuko la fedha limejaa coins. Sasa lile fuko likatoboka, ikabidi alizibe na kidole cha kati kati (mkono wa kulia), mkono wa kushoto umeshikilia juu ya fuko (yaani km kalikwida). Aliposhtuka usingizini kumbe kajipiga dole na mkono mwingine umemniga kooni......... Kweli fundo moja tu la ziada noma.......
 
hah hah haaa,,,huyu ni noma aisee!
 
Back
Top Bottom