Ulevi mbaya

mwl

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
1,101
Reaction score
914
Mlevi mmoja alipita makaburini usiku bahati mbaya kulikuwa na kaburi lililochimbwa hajazikwa mtu, akatumbukia, kila alivyojaribu kutoka ikashindikana, akaamua kulala mule, muda si mrefu akapita mlevi mwengine naye akatumbukia, kwa sababu ya giza hakuona mtu, akajaribu kutoka akasikia sautu ikimwambia HUTOKI HUMU akafa palepale.
 

Upo darasa la ngapi mheshimiwa, nahisi la kwanza au la pili hivi!
 

Hivi unajiita au wanakuita mwalimu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…